Uhalali wa Kikao cha ACT WAZALENDO 05/09/2016

Uhalali wa Kikao cha ACT WAZALENDO 05/09/2016

Activity Ratio

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2016
Posts
554
Reaction score
577
Ninaomba kufahamishwa ni lini polisi ilitengua kauli yake inayokataza kutofanyika vikao vya ndani kwa vyama visiasa hadi kupelekea ACT kufanya kikao chao kwa amani pasipo kuingiliwa na polisi ?
 
Nadhani kilikua hakina viashiria vya uvunjifu wa amani
 
Back
Top Bottom