jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,011
Wakuu,
Nimekutana na hii network business ya kampuni ya 4corners kwa link www.team4corners.com wanasema wao ni wauzaji wa vitabu online.
Ningependa kujua kama kuna mtu anaifahamu, uhalili wake na kama ni matapeli au?