Na sa hv eneo LA kuhakiki na mapolisi wanakuwepo wakisema tu hiki n feki unapakiwa kwenye defender kutoka kwa mdhamana na hadi uanze kulipa mishahara yote uliyolipwa
Wao wanadeal na namba ya mtihani tyuuu...inaingizwa kwenye system kama kuna mwingine yuko idara nyingine kwa cheti kilekile ngoja inaripuka......inaoneshaa mbona huyu huyu mwenye index no hii yupo idara Fulani..........
Uhakiki ndio irani yetu awamu hii na sasa tunahakiki TIN namba tukimaliza tunahakiki vitambulisho vya kupigia kura wakati huo tunawasiliana na RITA tuhakiki vyeti vya uzawa.