Uhakiki wa vyeti bado unaendelea?

halafu eti wanadai copy, mpaka nmeshangaa sana
vipi weye wamekuambia chako ni copy au unawashangaa hao wanaosema wamepeleka vyeti feki mkuu hapo cjakusoma hapo!!
 
Wale Wanaotumia Cheti Kimoja Watapatikana Kwenye Database Ya NIDA Maana Itaonyesha Coliision Ya Certificate Numbers, Na Hapo Itabidi Muitwe Wote Na Huyo Mwenye Feki Ataingia Mitini Na Biashara Kuishia Hapo, Ila Kama Ata Declare Kuwa Hana Cheti Anaweza Pangiwa Adhabu Nyingine Ila Kumfukuza Kazi Ni Adhabu Ya Mwisho Baada Ya Onyo Nk
 
Sasa kidato cha 4 & 6, baadae tutaangalia Vyeti vya taaluma, hivyo taaluma feki tutazitambua.
 
...tymeanza uhakiki wa uraia, tukimaliza huo tutafatia wa jinsia pia, rangi za mwili, uadilifu n.k...wakati wote huo hatuajiri mtu wala kupandisha cheo na mishahara...mpaka mpaka mpungue hapa mjini
 
Hapo mm naomba kuuliza wanaohusika kuhakiki hvyo vyeti ni watu gani na je wanaohakiki sekta zote ni watu wa aina moja???
 
Hili zoezi linakoelekea watu watakufa kwa presha
 
Wiki ijayo tunaanza na wastaafu, mpaka kieleweke. Wastaafu wengine wanamiaka 120 bado wanalipwa tu
 
Hapo nmekuelewa mkuu
 
Mbona mitambo yenyewe ya kuhakiki nayo ni feki? Na miingine imeshaanza kuibiwa.
 
Hivi kunatofauti gani kati ya vyeti feki na vile vya watu zaidi ya mmoja lakini ni OG?
Vyote n feki uhakiki wa necta ndo utatoa majibu kwa vyeti vilivyojirudia au vilivyofutwa initial katikat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…