Habari ya saa hizi wakuu naomba kuuliza kama mtu unataka kuwa na cheti cha kuzaliwa ambacho kimehakikiwa na kuna mwaka ukishawahi kuhakiki na copy yake unayo kuna haja ya kuhakiki tena kwa mara nyingine au naweza kutumiaa hii copy niliyonayo
NAOMBA KUJIBIWA KWA MWENYE UWELEWA ZAIDI
Kwa maana nyingine nina cheti cha kuzaliwa ambacho kilishahakikiwa mika miwili iliyopitaa sasa je naweza kukitumia kuomba mkopo au ni mpaka nihakiki tena upya