Uhakiki unaendelea au umesimama kupisha zoezi la madawa kulevya?

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Awamu hii tunaenda kwa matukio, kila zoez likianza mengne yanapsha kwanza,
1.watumishi hewa,
2.Faru john,
3.uhakiki,
Haya yote majibu hayajatolewa maana bado yapo kwenye mchakato,

4.madawa kulevya, hili sasa wahusika wamepatkana lakn sasa, ndo kila mtu akili yake iwe hukohuko? Tanzania kaz ipo mpaka tufike tutakuwa tumeshuhudia mazoez mengi ya kupisha!

Vyombo vya habr,magazet karbia yote tanazungumzia madawa ya kulevya! Baadae tutapisha zoezi la kutafutwa FARU JANE!
 
Back
Top Bottom