Awa jaamaa ciwaelewi. Lengo ni kuchangisha ama kutoa Ajira.
Hawaishi kusema uje kwenye séminaire na viingilio.
Amaja jaza form fulani ambayo pia inagharama.
Mnao ijua vzuri hawa jamaa nikweli ama wanataka kupiga héla tu.
Wanasema wanazaminiwa na startime.
Naimba kujuzwa zaid
mi nishawaona ni wezi tu hao watu, kwanza hata ofisi hawana wanajishikizashikiza tu, walinitumia kajiemail chao uandikaji wake tu nikajua hakuna kitu hapa mara upige simu sijui