Nisaidieni pamoja na kuitwa majina yote ya ajabu na wasioipenda CCM, lakini bado inaonyesha uhai wa ajabu sana, angalia picha hizi za Mpanda na Sumbawanga. SWALI LANGU, UHAI HUU CCM INATOA WAPI?
Marehemu hata kama alikua hashiriki misiba ya wengine akifa anapata waombolezaji ndo ccm hio na waombolezaji wake ambao wamefata mpunga na mahala pa kulala siku hiyo

Hata kama ningekuwa mimi nipo vijijini nina dhiki jana sijala chakula,nimesikia kuna usafiri wa bure kwenda kusalimia kijiji cha jirani na ubwabwa juu wallah ningetia timu tu.marehemu anazikwa tu.
Acha utani wewe kwa hiyo unawaita waliopo kwenye mkutano wapumbavu huoni huo ujumbe utamhusu hata anayeufurahia huo upumbavu.chunga ulimi wako kaka.hata kama chama kinakufa msitutusi hivyo.