Thomas Odera JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 673 Reaction score 155 Oct 11, 2024 #1 Kuna tatizo la maji katika jiji la Arusha eneo la Njiro tangu jana mchana mpaka leo. Sijui kama ni kwa eneo ambalo nafanyia kazi au na maeneo mengi ya jiji. Hebu mamlaka husika ilifanyie kazi. cc Wizara ya Maji
Kuna tatizo la maji katika jiji la Arusha eneo la Njiro tangu jana mchana mpaka leo. Sijui kama ni kwa eneo ambalo nafanyia kazi au na maeneo mengi ya jiji. Hebu mamlaka husika ilifanyie kazi. cc Wizara ya Maji
Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,602 Reaction score 22,707 Oct 11, 2024 #2 Bora yenu, sie huku tuna miezi kadhaa mabomba hayatoi maji.
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,227 Reaction score 35,294 Oct 11, 2024 #3 Itakua Idara ya maji wako bussy kuosha magari lamd rover festival