Ugumu wa maisha

omben

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
823
Reaction score
480
Hali ngumu ya maisha imesababisha jamaa watatu kula pamoja kande ya sh.300
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1351925210993.jpg
    101.6 KB · Views: 548
hao jamaa wana ugumu gani wa maisha? mbn vitambi na shavu dodo!
sema wapare hao wamekutana na chakula cha kwao mahala ambapo hawakutegemea ikabidi waitulize hamu!
 
Mbona jamaa wana afya njema, wamependeza na wana furaha kubwa.

Nahisi ni urafiki, undugu na ubinadamu ndio umefanya waamue kushirikiana.

Kifupi hawa jamaa sio maskini sana na wala sio wachoyo kama walivyo wabongo wengi.
 
hao jamaa wana ugumu gani wa maisha? mbn vitambi na shavu dodo!
sema wapare hao wamekutana na chakula cha kwao mahala ambapo hawakutegemea ikabidi waitulize hamu!

Kuna baadhi ya watu wananepa kwa shida tu

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Kuna baadhi ya watu wananepa kwa shida tu

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums

hawana shida hao angalia mazingira waliopo ni wajasiriamali wazuri wenye uhakika wa milo mitatu kwa siku!na hata mkao wao wa kula ni wa kitalii zaidi!
 
Dah! umenikumbusha chuo mkopo ulikua ukichelewa mademu choka mbaya utakuta mademu watatu wanakula chips sahani moja,utawasikia heti si HATULI SANA(kwa sauti yao ile ya kike) kumbe ukata hahahahaha!
 
Maisha siyo magumu hapo ila jamaa inaonekana ni wachaga, wanafanya economisation.
 
Hawana lolote hao tena nahisi wanachama wa ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…