Sonofthemajesty
Member
- Dec 3, 2012
- 55
- 20
Nimefikiri sana..kwa nini huyu El anachukiwa sana na watz fulani yani nimeishia kupata wazimu..NAJIULI ZA JE,
-Kipi nafuu, kuongozwa na maskin limbukeni au tajiri mwerevu?!
-Ni siri gani amebeba huyu Edo,kiasi cha kina MKAPA kupanic na kuropoka ovyo kwa woga na hofu?!
-Je, Lowassa ni mkimbizi au mhaini kias cha kukosa haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwa uhuru?
-Au Lowassa ndio mtu muovu kuliko Watz wote kwa sasa?! Na kama ni ivo, mamlaka ilishikwa kigugumiz gan kutomshitaki na kuishia kunung'unika tuu muda wa miaka 8?!
-Ama labda demokrasia na multipartism ni uhaini kwa taifa...NA JE Nini hasa maana ya kuwa na kampeni ya kuomba kura, au kuwa chama cha upinzan ni kuwa MUASI na MUHUJUMU UCHUMI?!
- Na Je, Watz tunaelewa ni nini hasa kiini cha uozo na hali mbovu ya zaidi ya 50 years?!..ama ni kweli kuwa wengi wetu ni MALOFA na WAPUMBAVU kwa kukubali kupumbazwa, kuzubaishwa na kuporwa viongozi wazuri kama SOKOINE, KOLIMBA waliokataa kuburuzwa na MAHAFIDHINA &MAFISADI...kisha tunasherekea 'iyenaiyena' kujipga kitanzi kwa mikono yetu wenyewe?!
#NAJIULIZA_SANA_ Why?!!_ tutaendelea na ufedhuli_ huu_mpaka_liniii ?!!