Ugonjwa wangu ni weupee...

nimejikuta napata hisia gafla kujibu hii post...rangi sio big deal kabisa yaani ni zero minus creteria! uwe na ngozi nzuri yenye kung'aa flani halafu isiwe na mkogoro. na ndo maana kuna black biyuti nakadhalika. hujapata kitu black beuty kifunu tu paja pekaake utasahahu kama kuna weupe!
 
Loooh!
We mwanaume majanga kweli,ina maana mie na chocolate yangu hii,soft kabisa!!,pamoja na kunyimwa hata kipele kimoja usoni bado huridhiki?!

eh haya katafute hao mapapai.,.Vaislay wapi njoo usikie huku,eti sitakwi!!.
 
pokea like hapo mkuu..tena fasta fasta tutafutane nikupe hongera yako.
 
Hahah..utanfanya ni-test zali...ila kifup cjawah kabisaaa kukutana na ao ma-black ila ma-beauty....
 
ukienda muhimbili hospital watu mbalimbali wanamaradhi tofautitofauti. Km wewe huo ndo ugonjwa wako basi unastahili ukalazwe wodi ya mwaiseka
 
Loooh!
We mwanaume majanga kweli,ina maana mie na chocolate yangu hii,soft kabisa!!,pamoja na kunyimwa hata kipele kimoja usoni bado huridhiki?!

eh haya katafute hao mapapai.,.Vaislay wapi njoo usikie huku,eti sitakwi!!.

Ajaaaaa.....loooh m nkajua metumia id nyngne ile huijui...kumbe metumia ii..loooh

Lakn umekaribia kwa iyo sio mbaya...
 
Punguza porn coz ndo inayokufanya unavua watoto wa watu nguo na kuwagonga through assumptions
 
Punguza porn coz ndo inayokufanya unavua watoto wa watu nguo na kuwagonga through assumptions

Naomba nkuulize...We n mtu mzima mwenzang au bado unaandikia penseli...samahan lkn...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…