Wasalaam wana mmu...
Bas wadau mi msichana akiwa mweupe loooh hoiii...hua nawaza kama uson au mikoni ni meupe kiac icho je panapofichwa!!!
Hii imeniathiri kiasi cha kunifanya niwe na list ya wadada weupee tuu ingawa i preffer natural si ya carolite...
Kwan we rang gan unakutoa pangon!..kwa ote me na ke
Nahisi angekuwepo wa blue ingekuwa poa sana maana huwa nikiona hiyo rangi dah inanimaliza mi hoiiiii....!
Mimi kama mtaalamu wa mapenzi nawashauri wanaume weupe big no.
Mkitaka sababu nitawapa...