Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,581
- 2,224
- Thread starter
- #21
Ugonjwa haukujulikana mkuu, si Muhimbili wala TMJ hospital. pale TMJ baada ya kufeli kwenye vipimo walitwambia labda ni TB na walimuanzishia dozi lakini haikusaidia.Poleni sana.
Mi naona kama hawakuweza kusema tatizo watakua na upungufu mkubwa wa ujuzi. Hospitali kama muhimbili sina shaka kuweza wao kujua tatizo sema wanaweza kuona ni tatizo hawana uwezo kutibu. Kwa mfano zipo cancer aina mbalimbali za tumboni kama kwenye wengu, ini, uzazi au tumbo lenyewe husababisha kujaa maji.
Yafaa kueleza hali halisi ya ugonjwa kwa jamaa zake.
