Walichoharibu mikia ni kumpa penat okwi ni bora angeachwa abaki na rekodi yake ya kufunga dar tu af mikia mkome kutusumbua au kwasi leo amesajiliwa Mwadui mbona goli zimefungwa. Nauliza tu
Wangepoteza mechi hiyo ingependeza kwa Yanga. Simba wajitahidi ili wabaki pale juu, mwaka huu ni wao kwani wamekuwa na mwanzo mzuri. Ipo shinikizo kubwa dhidi yao kimchezo kubaki pale juu lakini wajitahidi tu. Huyo Boko bado mzuri tu hata Okwi. Ligi imeanza kupendeza sasa na ushindani utaanza kwa kasi kubwa.
Walichoharibu mikia ni kumpa penat okwi ni bora angeachwa abaki na rekodi yake ya kufunga dar tu af mikia mkome kutusumbua au kwasi leo amesajiliwa Mwadui mbona goli zimefungwa. Nauliza tu