Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,838
Haya tukatishe mazungumzo tungojee kinacho endelea huko atakapo pelekwa mgonjwa matokeo yake.Usi generalize issues.
Kila issue ina ups and down, ingekuwa hivyo unavyodhani wagonjwa wako wote wangepona. Wapo wanaopona vs wapo wanaobaki na magonjwa yao vs wapo wanaokufa.
Uliyekutana nae bado alikuwa na factors zake nyingine pia. Tusiwakatishe watu tamaa kwa kuelewa au kutokuelewa kwetu.