Ugonjwa wa kisukari

Ugonjwa wa kisukari

ABBYA

Senior Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
169
Reaction score
122
Habari wana jf, nina mjomba ambaye Ana tatizo la kisukari, kwa sasa Ana kidonda ktka mguu ambacho kilitokana na kuchomwa sindano.

Naomba kujua kama kuna mtu ambaye amewahi kupitia changamoto hii, na alikabiliana nayo vipi kupata tiba ya kidonda na mtu anayefahamu dawa ya asili please anisaidie!
 
Pole kwa kuuguza,
Kidonda au vidonda kwa watu wenye shida ya sukari ni very challenging:

1: kutokana na uwepo wa sukari nyingi kwenye mfumo wa mwili hivyo kuwa chakula cha bakteria kuzaliana.

2: Mwitikio hafifu wa mwili kwenye kupambana na mashambulizi ya bakteria kwa eneo husika.

3: Kidonda kuweza kutambaa ndani kwa ndani kufuata misuli au compartment.

4: Kiwango cha kidonga huweza kuchangia kiasi cha sukari kuongezeka kutokana na infection.

Suluhisho:
Kwa kuwa kidonda hakijaonyeshwa, toka siku ya kwanza ni muhimu na umakini unahitajika sana kwenye:

1: Hakikisha unapata eneo au mtaalamu wa afya mwenye experince au umakini na usafishaji wa kidonda husika.

2: Mtaalamu wa afya au wewe na ndugu yako kuwa na ufuatiliaji wa karibu juu ya mwenendo wa sukari ya mgonjwa kuwa kwenye kiwango kinachotakiwa.

3: Matumizi sahihi ya dawa kwenye kuuguza kidonda na ku-control sukari.
 
Npm mkuu mawasiliano yako nikujuze dawa ya asili na jinsi ya kuitumia mradi asiwe na zaidi ya meaka na huo ugonjwa
 
Habari wana jf, nina mjomba ambaye Ana tatizo la kisukari, kwa sasa Ana kidonda ktka mguu ambacho kilitokana na kuchomwa sindano.

Naomba kujua kama kuna mtu ambaye amewahi kupitia changamoto hii, na alikabiliana nayo vipi kupata tiba ya kidonda na mtu anayefahamu dawa ya asili please anisaidie!
Mkuu nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kumtibia mjomba wako huo ugonjwa wa kisukari pamoja hicho kidonda chake kitapona akitumia dawa zangu.
 
Karafuu aloweke usiku kucha saa38 anywe wanasema inasaidia
Ila afate mashart anywe dawa na chakula azingatie diet yake pia apime sukari yake asubuh na jion

Hicho kidonda mpeleke hospital haraka asafishwe kila mara na wakiangalie kisijekuwa kimechimba ndani kinatambaa
 
Pole kwa kuuguza,
Kidonda au vidonda kwa watu wenye shida ya sukari ni very challenging:

1: kutokana na uwepo wa sukari nyingi kwenye mfumo wa mwili hivyo kuwa chakula cha bakteria kuzaliana.

2: Mwitikio hafifu wa mwili kwenye kupambana na mashambulizi ya bakteria kwa eneo husika.

3: Kidonda kuweza kutambaa ndani kwa ndani kufuata misuli au compartment.

4: Kiwango cha kidonga huweza kuchangia kiasi cha sukari kuongezeka kutokana na infection.

Suluhisho:
Kwa kuwa kidonda hakijaonyeshwa, toka siku ya kwanza ni muhimu na umakini unahitajika sana kwenye:

1: Hakikisha unapata eneo au mtaalamu wa afya mwenye experince au umakini na usafishaji wa kidonda husika.

2: Mtaalamu wa afya au wewe na ndugu yako kuwa na ufuatiliaji wa karibu juu ya mwenendo wa sukari ya mgonjwa kuwa kwenye kiwango kinachotakiwa.

3: Matumizi sahihi ya dawa kwenye kuuguza kidonda na ku-control sukari.
Shukrani!
 
Karafuu aloweke usiku kucha saa38 anywe wanasema inasaidia
Ila afate mashart anywe dawa na chakula azingatie diet yake pia apime sukari yake asubuh na jion

Hicho kidonda mpeleke hospital haraka asafishwe kila mara na wakiangalie kisijekuwa kimechimba ndani kinatambaa
Asante anasafisha mkuu kila asubuhi!
 
Habari wana jf, nina mjomba ambaye Ana tatizo la kisukari, kwa sasa Ana kidonda ktka mguu ambacho kilitokana na kuchomwa sindano.

Naomba kujua kama kuna mtu ambaye amewahi kupitia changamoto hii, na alikabiliana nayo vipi kupata tiba ya kidonda na mtu anayefahamu dawa ya asili please anisaidie!
Kuna daktari wa vidonda vya sukari tu yupo faya, kama unatoka muhimbiri nyoosha usikate kuelekea Magomeni wala DIT. Vuka then kushoto kwako kuna kituo cha mafuta. mbele ya hicho kituo yupo hapo.
 
Hili jambo ni kubwa sioni nafasi ya dawa za asili mpeleke chap hospital ama kituo cha afya achekiwe zaidi
Hakuna dawa ya hospitali itakayoweza kukutibu kidonda cha kisukari zaidi ya kumkata hiyo sehemu yenye kidonda. Kama unabisha ngojea huyu aliye toa hii Post atakavyorejesha hapa majibu kuwa mgonjwa wake amekatwa hiyo sehemu yenye kidonda kilicho sababishwa na ugonjwa wa kisukari. Ufumbuzi wake hapo atibiwe kwa dawa za asili atapona ugonjwa wa kisukari pamoja hicho kidonda chake mguuni.
 
Vidonda vinapona, hii yote inategemea na niliyoyaeleza hapo juu kuanzia day one. Akicheza anaana-doo matokeo ndo huwa si mazuri.
 
Kuna daktari wa vidonda vya sukari tu yupo faya, kama unatoka muhimbiri nyoosha usikate kuelekea Magomeni wala DIT. Vuka then kushoto kwako kuna kituo cha mafuta. mbele ya hicho kituo yupo hapo.
Shukrani sana mkuu nimefarijika kuona hii, ndio hapo tulimpeleka ameandikiwa sindano 20 asubuhi na jioni!
 
Vidonda vinapona, hii yote inategemea na niliyoyaeleza hapo juu kuanzia day one. Akicheza anaana-doo matokeo ndo huwa si mazuri.
Mimi nilipo nje huku kuna Ma-Doctor wazuri kuliko hapa kwetu Tanzania kuna jirani yangu mzee mtu mzima ana ugonjwa wa kisukari mwanamume nilimpa ushauri mke wake akadharau alikuwa ana kidonda mguuni wakampeleka hospitali baada ya mwezi nina muona mguu wake umekatwa Nikashangaaa kweli .Nikamuuliza mke wake majibu yalikuwa ni hayo hayo niliyosema kuwa Hakuna hospitali dawa ya kuweza kukiponyesha kidonda cha mgonjwa wa yule Mzee baada ya miezi 6 tangu walipo mkata mguu wake alifariki dunia. Ninarudia tena kusema Hakuna Dawa ya kuweza kukitibu kidonda cha mgonjwa wa kisukari Hospitalini.
 
Usi generalize issue.
Kila issue ina ups and down, ingekuwa hivyo unavyodhani wagonjwa wako wote wangepona. Wapo wanaopona vs wapo wanaobaki na magonjwa yao vs wapo wanaokufa.

Sample hizo haziwezi kugeneralize maamzi ya haiwezekani na uliyekutana naye ana sababu nyingine zaidi.
 
Mimi nilipo nje huku kuna Ma-Doctor wazuri kuliko hapa kwetu Tanzania kuna jirani yangu mzee mtu mzima ana ugonjwa wa kisukari mwanamume nilimpa ushauri mke wake akadharau alikuwa ana kidonda mguuni wakampeleka hospitali baada ya mwezi nina muona mguu wake umekatwa Nikashangaaa kweli .Nikamuuliza mke wake majibu yalikuwa ni hayo hayo niliyosema kuwa Hakuna hospitali dawa ya kuweza kukiponyesha kidonda cha mgonjwa wa yule Mzee baada ya miezi 6 tangu walipo mkata mguu wake alifariki dunia. Ninarudia tena kusema Hakuna Dawa ya kuweza kukitibu kidonda cha mgonjwa wa kisukari Hospitalini.
Usi generalize issues.

Kila issue ina ups and down, ingekuwa hivyo unavyodhani wagonjwa wako wote wangepona. Wapo wanaopona vs wapo wanaobaki na magonjwa yao vs wapo wanaokufa.

Uliyekutana nae bado alikuwa na factors zake nyingine pia. Tusiwakatishe watu tamaa kwa kuelewa au kutokuelewa kwetu.
 
Back
Top Bottom