Ugonjwa wa Kisonono (Gonorhea): Dalili, kinga na tiba yake


Kweli kabisa mkuu,,,yalionikuta hayakua madogo na ndomaana hadi nikafanya ujasiri kusema yalionikuta ili yasiwakute na wenzangu mkuu

Ngono salama ni la muhimu saana mkuu
 
Wakubwa habari za kazi natumai mu wazima.Naombe msaada wenu kwa wanaoijua dawa ya kutibu ugonjwa huu.
Lazma uende hosptal ufanyiwe vipimo kama urinalysis then culture baada ya hapo iki julikana ni hao gram negative gonoccocal . Una anza treatment una anza na start inj: powerceff 1g. Then cipro mg 500 bd 10/7 + doxy 100mg b/d 7/7.ukifata nlicho kwambia utakuwa salama.
 
Mizizi ya papai ni kiboko. Chemsha ndo yawe maji yako ya kunuwa kwa siku tano
 
Wadau mimi niliwahi kuukwaa huu ugonjwa mwaka juzi nikaenda hospitali nikatibiwa nikapona

Kuanzia hapo nikikutana tu na demu bila mpira lazma naupata tena, natumia dawa napona.

Nikigusa tu demu bila zana naupata tena, nikawa najiuliza ina maana mdemu wangu wote ninaopitia wana gono au mimi ninatatizo?

Wiki iliopita nikapiga mzigo katika harakati zana ikapasuka hapa nilipo tayari majanga

Naombeni ushauri wenu wakuu wa hizi taaluma
 
ukipata gono 50%umepata ukimwi ila mimi nashauri kila ukimaliza ngono tena ya mambo ya denda au peku kunywa azuma vidonge vi3 siku hizi wanawake wengi wazuri lakini wachafu na ukimshauri anywe dawa anakuambia mbona mimi si umwi
 
Muulize mpenzi wako dawa anayotumia
 
Wacha likucharaze vizuri mwenyewe utaamka asubuhi utapaona pa kwenda. Bila hivyo hutapata funzo zuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…