Ugonjwa wa Kansa (Cancer)

Ugonjwa wa Kansa (Cancer)

Matukutuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
269
Reaction score
127
Wanajamii,

Ninaomba yeyote mwenye uelewa mpana wa huu ugonjwa wa kansa aje atupe mautaalamu hapa, kama vile nini chanzo, dalili zake, matibabu yake, hatua za huu ugonjwa, kinga yake, dawa na kila kitu kinachohusiana na huu ugonjwa.

Ila mimi naomba sana sana umwagike kuhusu chanzo / vyanzo hasa vya ugonjwa huu yaani visababishi vikubwa vya huu ugonjwa.

Naona wagonjwa wengi huwa wanajua kuwa wana kansa ikishafika stage mbaya sana na kupona inakuwa haiwezekani.

Nawasilisha.
 
Cancer au saratani kwa kiswahili ni aina ya ugonjwa unaotokana na kugawanyika kwa cells bila mpangilio,.ugonjwa huu hubana vitu kama neva,mishipa ya damu,ubongo,utumbo n.k kwenye mwili wa binadamu hivyo kupelekea shida mwilini,..

Kwakuwa saratani ziko za aina nyingi tofauti,dalili zake pia inategemea na saratani husikaa mf:sarati ya matiti,
Saratani ya shingo ya kizazi
Saratani ya tezi dume
Saratani ya damu na kadhalika,.Dalili pia hakuna dalili za moja kwa moja lakini viashiria vipo wataalam watasema zaidi juu ya hili,.tiba pia zipo kutokana na stage ya ugonjwa ulipofikia mf:tiba ya mionzi(homonotherapy)n.k au upasuaji na njia zingine zitumikazo kama tiba ya ugonjwa huu,.

Hichi ndicho kiiidogo sana nikijuacho kuhusu saratani...elimu zaidi inahitajika na kama kuna mahali nitakuwa nimekosea nitaomba marekebisho.
 
Ukiachilia mbali ile wanayopima wanawake kuhusu saratani ya maziwa, hakuna uwezekano wa kufanyiwa vipimo vya awali vikaonyesha kama tayari umeshaanza kutafunwa na hili janga?
 
Ukiachilia mbali ile wanayopima wanawake kuhusu saratani ya maziwa, hakuna uwezekano wa kufanyiwa vipimo vya awali vikaonyesha kama tayari umeshaanza kutafunwa na hili janga?
Vipo vipimo tofauti kutegemea ni cancer ya nini. Japo vipimo vingi vinachelewa kugundua.

Kipimo sahihi na cha uhakika ni PET scan.
 
Vipo vipimo tofauti kutegemea ni cancer ya nini. Japo vipimo vingi vinachelewa kugundua.

Kipimo sahihi na cha uhakika ni PET scan.

Hiyo PET scan inachunguza damu na kuonyesha eneo lililoathirika au inafanyaje kazi mkuu?

Natamani kingekuwepo kikicheki damu yako, kama vile FBP kionyeshe eneo lililoanza kuathirika.

Shukrani kwa maelezo
 
Kansa mbays kuliko ukimwi na magojwa mengine ya zinaa
 
Cancer au saratani kwa kiswahili ni aina ya ugonjwa unaotokana na kugawanyika kwa cells bila mpangilio,.ugonjwa huu hubana vitu kama neva,mishipa ya damu,ubongo,utumbo n.k kwenye mwili wa binadamu hivyo kupelekea shida mwilini,..

Kwakuwa saratani ziko za aina nyingi tofauti,dalili zake pia inategemea na saratani husikaa mf:sarati ya matiti,
Saratani ya shingo ya kizazi
Saratani ya tezi dume
Saratani ya damu na kadhalika,.Dalili pia hakuna dalili za moja kwa moja lakini viashiria vipo wataalam watasema zaidi juu ya hili,.tiba pia zipo kutokana na stage ya ugonjwa ulipofikia mf:tiba ya mionzi(homonotherapy)n.k au upasuaji na njia zingine zitumikazo kama tiba ya ugonjwa huu,.

Hichi ndicho kiiidogo sana nikijuacho kuhusu saratani...elimu zaidi inahitajika na kama kuna mahali nitakuwa nimekosea nitaomba marekebisho.
Madame,are u a medical practionist?
 
Cancer ni ugonjwa unaotokana na cell mutation(mabadiliko ya cell). cell mutation inatokana na vitu kama uvutaji sigara, ulaji mbovu, kutofanya mazoezi n.k. mara nyingi inachelewa kugundulika sababu hatua za mwanzo za cancer hazina dalili za kukutisha na pia madaktari wengi watajaribu kukutibu magonjwa mengine ikishindikana ndo watakuambia ukapime cancer, pia vipimo vyake ni gharama kwa hiyo watu wengi wakizidiwa ndo wanaenda kupima, sababu nyingine ni psychology watu wengi tunaogopa kupima magonjwa makubwa tunaisi kama yatatukatisha tamaa ya kuishi na tutakuwa tunajichulia.
Disclaimer : nilichoandika ni mawazo yangu na mawazo si lazima yawe ya kweli.
 
Kuhusu matibabu kitaalamu yapo ya aina mbili chemotherapy na radiation therapy. Chemotherapy ni utumiaji wa chemicals kutibu cancer, hapa utakula sindano kila baada ya muda fulani
Radiation therapy hapa utapigwa mionzi kwa kutumia mashine maalum.
Matibabu yote yana lengo la kuua mutated cell, ila sababu hayapo controlled huwa yanaua hadi cells zilizo vizuri na pia wagonjwa wengi wananyonyoka nywele kwa haya matibabu.
Pia kuna watu wengi ambao wanasema na kunapositive feedback kuwa wanaweza kutibu cancer wao wanatumia mara nyingi mitishimba na ushauri watu wabadilishe aina ya ulaji maana wanadai nature is the cause of diseases and it's the one who can cure them.
The disclaimer in the above post still apply. In addition am not a medical practitioner or student
 
Hiyo PET scan inachunguza damu na kuonyesha eneo lililoathirika au inafanyaje kazi mkuu?

Natamani kingekuwepo kikicheki damu yako, kama vile FBP kionyeshe eneo lililoanza kuathirika.

Shukrani kwa maelezo
Mkuu, PET-CT scan ina muonekano kama CT Scan ila hii si Ct scan. Hii ina uwezo wa kuonesha cancer katika viungo vya mwili katika hatua ya awali kabisa tofauti na CT Scan.

PET-CT scan ni combination ya PET scan na CT Scan. Hivyo kutoa picha bora zaidi.

Hii ni picha ya vipimo hivi vitatu. Tazama ni kipi kinaweza kuonesha cancer mapema na haraka bila kubahatisha.

A. CT SCAN
B. PET SCAN
C. PET-CT SCAN
150px-Pet-ct-images.jpg

Kuhusu damu, sina hakika. Cancer zinazohusiana na damu hupimwa kwa damu maabara.
 
Cancer zinasababishwa na vitu vingi kuanzia virus hpv waosababisha cancer ya kizazi nyingine sumu mwili na nyingine mgawanyiko mbaya wa cells unaopelekea kuharibika kwa tishu ya eneo husika hii ni common type ya cancer pengine kila mtu anaipata kila siku na mwili wetu unajitibu sababu unatambua cells zilizojitenga vibaya mfumo wa kinga unaziua ikitokea mfumo wakinga umeshindwa kuziua cells zinazogawanyika bila mpangilio hiyo ndio hupelekea uvimbe sehemu husika na hupewa jina kutoka na eneo uliopo kama kansa ya mapafu n.k
 
Wanajamii,

Ninaomba yeyote mwenye uelewa mpana wa huu ugonjwa wa kansa aje atupe mautaalamu hapa, kama vile nini chanzo, dalili zake, matibabu yake, hatua za huu ugonjwa, kinga yake, dawa na kila kitu kinachohusiana na huu ugonjwa.

Ila mimi naomba sana sana umwagike kuhusu chanzo / vyanzo hasa vya ugonjwa huu yaani visababishi vikubwa vya huu ugonjwa.

Naona wagonjwa wengi huwa wanajua kuwa wana kansa ikishafika stage mbaya sana na kupona inakuwa haiwezekani.

Nawasilisha.

PART 2-CANCER
Fixing the root cause of cancer
While many natural cancer treatments do very well against cancer, what is missing in many natural cancer treatment protocols is getting rid of the microbes in the organs, which is the root cause of most cancer.
In many cases, the immune system can get rid of these microbes, but in fact, some types of tapeworms, flukes, and fungus, etc. cannot be killed by the immune system for one reason or another (e.g. the microbes are not accessible by the immune system).
Liver flushes and special nutrients may be required to deal with these microbes and parasites. But the fact is that many natural cancer treatments do very well without dealing with these special microbes. But the patient should be aware of these issues.
By getting rid of the microbes in the organs, plus doing the normal cancer treatments, the balance (i.e. a strong immune system and a low number of cancer cells) is restored enough to keep cancer from coming back. The patient is cured because their immune system has been fixed and the number of cancer cells (by using special protocols) has been reduced. Cancer will not come back as long as the patient watches their diet.
The approach of orthodox medicine, however, is to severely damage the immune system with chemotherapy, radiation, and surgery. This makes the imbalance even worse because these things damage the immune system and do a very poor job of targeting the cancer cells and do an even worse job of killing the microbes in the organs.
Orthodox cancer treatments also kill many healthy cells and can damage organs, the lymph system, etc. Is it any wonder cancer always seems to “come back” after surgery or chemotherapy? This is called “regression.”
For example, how does cutting off a breast going to fix the immune system? Don't be absurd. I don't know how many times I have told cancer patients that “you cannot cut cancer out.”
Is it any wonder that alternative cancer treatments, when administered by experts, have a massively higher cure rate than orthodox medicine? Most natural cancer treatments include immune builders and things that kill cancer cells. Some protocols also include things to clean the blood of microbes, which also will supercharge the immune system.
Ponder this carefully: Even when orthodox medicine puts someone into “remission” (i.e. their cancer appears to be gone), they have not fixed the root cause of cancer, so it is almost certain cancer will come back.
Because the root cause of cancer is a weak immune system, you cannot cut cancer out. You have to deal with the root cause of cancer.
Cancer on the systemic level
Everyone has cancer cells in their body, so why does one person never get diagnosed with cancer and another person is diagnosed with cancer? Cancer is almost always caused by the same multi-step sequence of events.
First, nasty microbes and parasites get inside of the organs and make their homes there. These microbes generally come from meat that was not adequately cooked, but they can come from other sources.
Second, these microbes intercept glucose which was headed for the cells in the organs.
Third, these microbes excrete (as waste products) mycotoxins, which are highly acid and totally worthless to the cells.
Fourth, because the cells (in the organs) don't get the food they need (because it has been intercepted), and because they are living in a sea of filth (i.e. mycotoxins), the cells in the organ become weak.
Fifth, organs are made exclusively of cells. In other words, if you took all of the cells out of an organ, there would be no organ. Thus, because the cells in the organ(s) are weak, the organ(s) are weak.
Sixth, because one or more major organs are weak the immune system becomes weak. Actually, the microbes weaken the immune system both directly and indirectly.
Seventh, because the immune system is weak it cannot kill enough cancer cells and the cancer cells grow out of control.
Thus, in summary, the root cause of cancer is microbes and parasites that are in the organs or colon (or bloodstream), which weakens the immune system.
However, other things can cause cancer. For example, a vaccination can weaken the immune system due to mercury and / or toxins. Filth in the colon can also lead to a weak immune system (see the book: Fire in the Bellyby Dr. Keith Scott-Mumby)
The reader might have noted the “or bloodstream” above. Cancer patients who have microbes in the organs also have microbes in the bloodstream. Which caused the other will vary by the cancer patient. But microbes that originate in the organs will spread microbes to the bloodstream, and vice versa. Exactly how much the microbes in the organs weaken the immune system, versus how much the microbes in the bloodstream weaken the immune system varies by case, but parasites likely would be found in the organs.
When thinking about the above steps, there are three major ways to cure cancer:
Safely target and kill the cancer cells;Kill the microbes inside the cancer cells (which will be discussed below) and the cancer cells will revert into normal cells;Kill the microbes that are causing the immune system to be weak (and this includes the microbes in the organs and the microbes in the bloodstream).
Actually, without doing No. 3, cancer could come back again.
The reader might wonder if there are any natural cancer treatments that are specifically designed to identify and get rid of the microbes in the organs? The answer is yes.
 

Attachments

  • hpv viruses.jpg
    hpv viruses.jpg
    16.5 KB · Views: 73
Cancer zinasababishwa na vitu vingi kuanzia virus hpv waosababisha cancer ya kizazi nyingine sumu mwili na nyingine mgawanyiko mbaya wa cells unaopelekea kuharibika kwa tishu ya eneo husika hii ni common type ya cancer pengine kila mtu anaipata kila siku na mwili wetu unajitibu sababu unatambua cells zilizojitenga vibaya mfumo wa kinga unaziua ikitokea mfumo wakinga umeshindwa kuziua cells zinazogawanyika bila mpangilio hiyo ndio hupelekea uvimbe sehemu husika na hupewa jina kutoka na eneo uliopo kama kansa ya mapafu n.k

You would not believe how many messages in groups, Admin have gotten from cancer patients who have gone through these three steps:
The patient had chemotherapy, radiation, and surgery to treat their cancer;The patient was told they were “cancer-free”;Months later cancer “came back,” which is called “regression.”
Among other things, this article will explain what went wrong and how to prevent cancer from coming back. When talking about what causes cancer we need to talk about it at two different levels.
The first level is talking about cancer at the systemic level, meaning what conditions in the body allowed cancer to grow out of control and how do we deal with this issue.
The second level of talking about cancer is talking about what causes cancer at the cellular level. In other words, why does a healthy cell become cancerous?
As part of this, we will also discuss how to revert cancer cells into normal cells, which is one way to treat cancer. For example, the Dirt Cheap Protocol has more than a dozen treatments that revert cancer cells into normal cells.
These two subjects are totally different!
We can compare these two levels by talking about a flood. We could talk all day long about the damage a rain storm caused, such as the flooding of rivers, the damage to crops caused by heavy rain, the damage to roads that have flooded, etc.
But that is only one level to talk about. We could also ask what weather conditions caused rain to form in the clouds. Thus, a scientist might talk about what causes rain up in the clouds, but a newscaster might talk about the damage caused by the flooding of a river caused by the rain.
The same is true about cancer. A cancer practitioner might research how to kill cancer cells or revert them into normal cells, but a cancer researcher might ask why the immune system was weak and why individual cells were cancerous.
A discussion about what causes cancer at the cellular level is a totally different subject than talking about what causes cancer at the systemic level.
Five ways to ‘cure' cancer
1. Kill the cancer cells with nutrients, such as laetrile or Vitamin B17.
2. Kill the microbes inside the cancer cells with DMSO, MSM, as Trojan Horses, and electromedicine or other tactics.
3. Supercharge the immune system to create interleukin and interferon and other neuropeptides, which in turn kill the cancer cells.
4. Kill the parasites and microbes in the organs, which will also help supercharge the immune system.
5. Supercharge the immune system with nutrients (though it does not work as fast as some of the other treatments).
 
Cancer au saratani kwa kiswahili ni aina ya ugonjwa unaotokana na kugawanyika kwa cells bila mpangilio,.ugonjwa huu hubana vitu kama neva,mishipa ya damu,ubongo,utumbo n.k kwenye mwili wa binadamu hivyo kupelekea shida mwilini,..

Kwakuwa saratani ziko za aina nyingi tofauti,dalili zake pia inategemea na saratani husikaa mf:sarati ya matiti,
Saratani ya shingo ya kizazi
Saratani ya tezi dume
Saratani ya damu na kadhalika,.Dalili pia hakuna dalili za moja kwa moja lakini viashiria vipo wataalam watasema zaidi juu ya hili,.tiba pia zipo kutokana na stage ya ugonjwa ulipofikia mf:tiba ya mionzi(homonotherapy)n.k au upasuaji na njia zingine zitumikazo kama tiba ya ugonjwa huu,.

Hichi ndicho kiiidogo sana nikijuacho kuhusu saratani...elimu zaidi inahitajika na kama kuna mahali nitakuwa nimekosea nitaomba marekebisho.

Cancer on the systemic level

Cancer is almost always caused by the same multi-step sequence of events.

First, nasty microbes and parasites get inside of the organs and make their homes there. These microbes generally come from meat that was not adequately cooked, but they can come from other sources.

Second, these microbes intercept glucose which was headed for the cells in the organs.

Third, these microbes excrete (as waste products) mycotoxins, which are highly acid and totally worthless to the cells.

Fourth, because the cells (in the organs) don't get the food they need (because it has been intercepted), and because they are living in a sea of filth (i.e. mycotoxins), the cells in the organ become weak.

Fifth, organs are made exclusively of cells. In other words, if you took all of the cells out of an organ, there would be no organ. Thus, because the cells in the organ(s) are weak, the organ(s) are weak.

Sixth, because one or more major organs are weak the immune system becomes weak. Actually, the microbes weaken the immune system both directly and indirectly.

Seventh, because the immune system is weak it cannot kill enough cancer cells and the cancer cells grow out of control.

Thus, in summary, the root cause of cancer is microbes and parasites that are in the organs or colon (or bloodstream), which weakens the immune system.

However, other things can cause cancer. For example, a vaccination can weaken the immune system due to mercury and / or toxins. Filth in the colon can also lead to a weak immune system
 

Attachments

  • CANCER JAMII.jpg
    CANCER JAMII.jpg
    34.3 KB · Views: 77
Back
Top Bottom