Wapendwa nimepigiwa simu na rafiki yangu ataniambia kuna ugonjwa wa kutetemeka ambao unaua sana nguruwe huko Tabata na Kinyerezi. Mwenye habari kamili na tafadhali atujuze hapa.

Wewe wa kwako wameonyesha dalili yoyote.......?.......wahi kwa mtaalam haraka.......hiyo hali isijesababisha uhaba wa hicho kitoweo msimu huu wa sikukuu.........

Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe
Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....
Click link ifuatayo kujiunga......
Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI