ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
hamna wadudu nimecheki.. hii hali imeanza baada ya manyunyu kupitaUmeangalia chini ya jani lililojikunja kama hamna wadudu bas viral inaweza kuwa inaanza hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
kilimomaarifa.tajiri Upepo wa Pesa Kilimo Kilimo Faida msaada please! hii ni fungal ama viral? na dawa gani zafaa?
Asante kwa ushauri wako mkuu, ila nina maswali mawiliPOLESANA
DALILI ZINAONYESHA NI VIRAL DISEASES (VIRAL LEAF CURL
CHANZO KIKUBWA HUENEZWA NA WADUDU JAMII YA VIPEPEO WADOGO WEUPE (WHITE FLIES), AU WADUDU MAFUTA (AMPHIDS), UGONJWA WENYEWE VIRAL LEAF CURL HAUNA DAWA ILA UNACHOWEZA KUFANYA NI KUDHIBITI HAO WADUDU-VECTOR WANAOAMBUKIZA/KUSAMBAZA UGONJWA.
Tumia Sumu yeyote ya wadudu yenye Cypermethirin na Imidacloplid, au Cypermethrin na Pyrphrivos, au Imidacloplid na Chlorophyrivos, ndani yake changanya na Xantho au Megasin, au Multi Power Plus 78/76WP au Copper Oxycloride unayoipata katika Tan Copper au Blue Copper ili kuweka ujoto kwa mmea kuzuia faungus kumea kwa sababu ya hilo baridi/unyevu. Sumu za wadudu unazoweza kutumia ni _Kwa majina ya kibishara, zinaitwa, Prosper, Dududall, DuduCypermethrin, Buffalo, Blast, Actara etc
ILI KUBOOST UKUAJI NI VYEMA UKAPAGA LISHE KIDOGO YA YARA MILLER JAVA, AU NPK YA 17:17:17 ILI KUIMARISHA LISHE NA KUCHOCHEA NEW LEAVES KUTOKEZA, UKIWEZA NA JUU YA MIMEA PIA PIGA STARTER BOOSTER KAMA , POLYFEED STARTER, AU OMEX, AU MURPHY AU SUPER GROW, AU VIJIMAX, AU POTPHOS
Polesana
Asante kwa ushauri wako mkuu, ila nina maswali mawili
1. Je kama huu ugonjwa viral je ikiwa ni Ukungu/Fungal tiba inakuaje
2. Mmea unaathirika vipi na nini athari kwenye uzalishaji wa matunda.
Sawa nashukuru. Just another small one, hivi kama dawa zina viambato tofauti lakini zote ni za fungus au wadudu, ni sawa kuzichanganya pamoja kwa wakati mmoja?KAMA UGONJWA NI WA FUNGUS, DAWA NI HIZO UNAZOTUMIA NA HIZO NILIZOZISEMA, MULTI POWER, RIDOMIL GOLD, SUCCESS, MISTRESS, EBONY, VICTORY, DAMKA//ODEON/BANKO, AGRIFOS 400 ETC,,,, etc
MAJANI NDIO JIKO LA MMMEA, YAKIATHIRIKA HAMANA CHAKULA KINACHOTENGENEZWA, HAMANA MATUNDA WALA MAUA=HASARA (MMEA KUFA)
Iko hivi, huwezi changanya dawa mbili za wadudu kwa mda mmoja au dawa mbili za ukungu kwa muda mmoja!!Sawa nashukuru. Just another small one, hivi kama dawa zina viambato tofauti lakini zote ni za fungus au wadudu, ni sawa kuzichanganya pamoja kwa wakati mmoja?
Nimekuuliza hivyo makusudi. Kuna mkulima mwenzangu jirani na shambani kwangu kaniambia itakua umechanganya sumu ndo mana jani liliathirika ni jani changa. Nimezungumza na shamba boy kaniambia kachanganya dawa nne pamoja mbili za wadudu na mbili za fungus plus booster.Iko hivi, huwezi changanya dawa mbili za wadudu kwa mda mmoja au dawa mbili za ukungu kwa muda mmoja!!
Unaweza changanya dawa moja ya wadudu na moja ya fungus kwa mda mmoja not otherwise!!
Hamna sehemu penye madhara ya chemical hapo..unalima kwenye joto kwenye baridi?binafsi sio dalili ya ugonjwa wa ukungu hapo ni wadudu au viral au baridi...huo mchanganyiko wa vitu vinne kulikoni una ugomvi na afya ya mmea auNimekuuliza hivyo makusudi. Kuna mkulima mwenzangu jirani na shambani kwangu kaniambia itakua umechanganya sumu ndo mana jani liliathirika ni jani changa. Nimezungumza na shamba boy kaniambia kachanganya dawa nne pamoja mbili za wadudu na mbili za fungus plus booster.
Je ni kweli mchanganganyiko wa hizi chemicals unaweza kuchoma majani kiasi hiki?
Asha [emoji6]
Ni sawa na wewe umeze painkiller kama dicloper na panadol kwa muda mmoja..utakua unatafuta matatizo!! kuhusu ugonjwa wa wa mimea kilimomaarifa.tajiri ameshautolea maelezo hapo juu!!Nimekuuliza hivyo makusudi. Kuna mkulima mwenzangu jirani na shambani kwangu kaniambia itakua umechanganya sumu ndo mana jani liliathirika ni jani changa. Nimezungumza na shamba boy kaniambia kachanganya dawa nne pamoja mbili za wadudu na mbili za fungus plus booster.
Je ni kweli mchanganganyiko wa hizi chemicals unaweza kuchoma majani kiasi hiki?
Asha [emoji6]
Yeah nafahamu hii lakini ni practice ya shamba boys wengi sana hii ni sawa na wale wanaochanganya NPK na CAN.. Ni normal practice na sio kwamba nimemwelekeza hivo kijana. All in all nimeelewaNi sawa na wewe umeze painkiller kama dicloper na panadol kwa muda mmoja..utakua unatafuta matatizo!! kuhusu ugonjwa wa wa mimea kilimomaarifa.tajiri ameshautolea maelezo hapo juu!!
Ila unaweza kumix dawa moja ya wadudu na moja ya fungusi na kwenye mchanganyiko huohuo unaweza weka na booster pia!! ila sio uweke dawa mbili za wadudu na mbili za fungus!! sio sahihi...
Ukiona tunda lenye afya sokoni ujue kuna mtu kapambana vibaya sana aiseDuh.. Hii mimea inakula dawa nyingi kama wa2