Yaap kweli nmeshuhudia ndoa ya miezi 4. Imagine mtu umechanga laki kwa ajili yao , ule ujiran, ndoa miezi 4 hio hela hata haijaisha.Nowadays watu huingia kwenye ndoa kwa kufata mkumbo unakuta wengi wao hawapo au hawajawa tayar kukabiliana na majukumu ya ubaba na umama wa familia
Miez minne mingi hvyo!!? Kuna watu walikaa wiki mbili tu wakatemana. Mm nikikuchangia ukaleta huo ujinga nakuja kukudai unirudishie mchango wanguYaap kweli nmeshuhudia ndoa ya miezi 4. Imagine mtu umechanga laki kwa ajili yao , ule ujiran, ndoa miezi 4 hio hela hata haijaisha.
Watu wanaingia ili waonekane na wenyewe walipita .
Yan heri ya ww unafanya vema sana maana n hasara hiziMiez minne mingi hvyo!!? Kuna watu walikaa wiki mbili tu wakatemana. Mm nikikuchangia ukaleta huo ujinga nakuja kukudai unirudishie mchango wangu
Sina bando.Sikiliza "video clip" hiyo utapata jibu.View attachment 1633989
Hayo majukumu ya mke yapo too theoretical ....hakuna wa aina hiyo kizazi hiki mkuuHivi karibuni mahusiano ya me na ke, hasa wanandoa yamekuwa si ya mapenzi bali ugomvi/ghasia tu (domestic violence). Mimi si mtaalamu wa saikolojia lakini umri wangu na kuwa nimeshuhudia hayo kwenye ndugu na marafiki zangu, naona ni busara kuliweka hapa tujadiliane.
Kabla ya kutoa mtazamo wangu kuhusu mada, naomba uvumilivu wenu kueleza machache kuhusu nafasi ya mwanamke katika familia, na jamii kwa ujumla.
Wanawake ndio watunzaji wa msingi wa watoto na wazee katika kila nchi. Utafiti wa kimataifa unaonyesha kwamba wakati mabadiliko ys kiuchumi na kisiasa, wanawake wanaongoza katika kusaidia familia kujirekebisha na hali mpya na changamoto.
Kama binti, mwanamke ni jadi yake kuwajibika kwa kutunza wazazi wake. Kama mke, anatarajiwa kumtumikia mume wake, kutayarisha chakula, mavazi na mahitaji mengine binafsi. Kama mama, anapaswa kutunza watoto na mahitaji yao, ikiwa ni pamoja na elimu.
Mke wa nyumbani (pia anajulikana kama mfanyakazi wa nyumbani) ni mwanamke ambaye kazi yake ni kutunza au kusimamia nyumba ya familia yake, kama:
√ kutunza watoto wake;
√ kununua, kupika, na kuweka chakula kwa ajili ya familia;
√ kununua bidhaa ambazo familia inahitaji kwa ajili ya maisha ya kila siku; na
√ kuangalia nyumba, kusafisha na kuitunza.
Ili mjadala uwe na uhai, naweka maswali ya msingi ya kujiuliza.
1. Je, mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia, ni nini nafasi ya mwanamke nyumbani na katika jamii? Ikizingatiwa, kwa imani ya Kikristu, kwamba imeandikwa Waefeso 5:31 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.. Kutimiza hilo hitaji la msingi, imeandikwa.
√ Waefeso 5:22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.; na
√ Waefeso 5:25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake
2) Je, watoto wanapewa malezi yanayostahili na mama yao ambaye ni mfanyakazi?
3) Ni aina gani ya wanandoa, katika karne hii ya TEHAMA, wanatimiza wajibu wao wa mme/mke? Imeandikwa Mithali 14:1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Nawasilisha.
Usipojua nafasi ambayo Mungu kakupa na jinsi ya kuitumikia nafasi hiyo kwa Upendo ukiwa kama Mwanaume utapata tabu sana.Unajua nmegindua kina dada wako na mda mwingi kuliko wanaume hii inawafanya wakae sana kwny mitandao
N nadra sana kukuta dada ambae n mshamba kipindi hiki, wanajua vitu vingi sana na hapo ndo pembe huota.
Hii inakuwa ngumu sana kukontrol maisha ya kila siku jumlisha midomo yao ndo kabsa.
Mama angu huwa anasema vijana mna kazi sana kupata wake kipindi hiki.
Mbaya sana kufakamia ndoa bila kumuhusisha aliyeiumba.Hivi karibuni mahusiano ya me na ke, hasa wanandoa yamekuwa si ya mapenzi bali ugomvi/ghasia tu (domestic violence). Mimi si mtaalamu wa saikolojia lakini umri wangu na kuwa nimeshuhudia hayo kwenye ndugu na marafiki zangu, naona ni busara kuliweka hapa tujadiliane.
Kabla ya kutoa mtazamo wangu kuhusu mada, naomba uvumilivu wenu kueleza machache kuhusu nafasi ya mwanamke katika familia, na jamii kwa ujumla.
Wanawake ndio watunzaji wa msingi wa watoto na wazee katika kila nchi. Utafiti wa kimataifa unaonyesha kwamba wakati mabadiliko ys kiuchumi na kisiasa, wanawake wanaongoza katika kusaidia familia kujirekebisha na hali mpya na changamoto.
Kama binti, mwanamke ni jadi yake kuwajibika kwa kutunza wazazi wake. Kama mke, anatarajiwa kumtumikia mume wake, kutayarisha chakula, mavazi na mahitaji mengine binafsi. Kama mama, anapaswa kutunza watoto na mahitaji yao, ikiwa ni pamoja na elimu.
Mke wa nyumbani (pia anajulikana kama mfanyakazi wa nyumbani) ni mwanamke ambaye kazi yake ni kutunza au kusimamia nyumba ya familia yake, kama:
√ kutunza watoto wake;
√ kununua, kupika, na kuweka chakula kwa ajili ya familia;
√ kununua bidhaa ambazo familia inahitaji kwa ajili ya maisha ya kila siku; na
√ kuangalia nyumba, kusafisha na kuitunza.
Ili mjadala uwe na uhai, naweka maswali ya msingi ya kujiuliza.
1. Je, mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia, ni nini nafasi ya mwanamke nyumbani na katika jamii? Ikizingatiwa, kwa imani ya Kikristu, kwamba imeandikwa Waefeso 5:31 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.. Kutimiza hilo hitaji la msingi, imeandikwa.
√ Waefeso 5:22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.; na
√ Waefeso 5:25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake
2) Je, watoto wanapewa malezi yanayostahili na mama yao ambaye ni mfanyakazi?
3) Ni aina gani ya wanandoa, katika karne hii ya TEHAMA, wanatimiza wajibu wao wa mme/mke? Imeandikwa Mithali 14:1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Nawasilisha.
Sio ndoa ukianza jambo bila MUNGU n time wastage utakuja anza moja tuuMbaya sana kufakamia ndoa bila kumuhusisha aliyeiumba.