Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Hivi kwanini mnapenda kushabikia mambo yasio na faida kwa wananchi?
Hivi kwanini mnapenda kushabikia mambo yasio na faida kwa wananchi?
kwa sababu hao mawaziri hawatusaidii kitu zaidi ya wao kupata mshahara na maisha yao kutuibia
Wakuu
Kuna taarifa za kuibuka kwa ugomvi na kutokuelewana baina ya waziri mpya wa habari, utamaduni na micchezo Dr Fenela Mukangara na katibu mkuu wake Seth Kamuhanda. Chanzo halisi cha kutokuwepo kwa maelewano kati yao hakijawekwa bayana. lakini imejidhihirisha wiki hii pale katibu mkuu huyo Kamuhanda alipokataa kwenda kumuwakilisha waziri kwenye mkutano wa wahariri mjini Morogoro.
Awali waziri alikubali kuhudhuria kama alivyoalikwa na MCT lakini baadae akasema atamtuma katibu mkuu wake. Hata hivyo baada ya siku kufika, katibu mkuu huyo alikataa kumuwakilisha waziri huku akiwataka waandaaji wamtafute waliyemwalika na yeye hana muda huo wala mwaliko haukuwa wake.
Hii imerejesha kipindi cha Shamsa Mwangunga na Blandina Nyoni kule Maliasini ama Blandina na Lucy Nkya kule afya. Nitaendelea kuwajulisha na hasa nikipata chanzo halisi cha ugomvi wao.
Hivi kwanini mnapenda kushabikia mambo yasio na faida kwa wananchi?
Wao wanayofanya hayo mambo yana faida kwa wananchi?
Kwa mbali nawasikia wana Msondo ngoma.
"Nidhamu ya kazi, ni msingi, wa maefanikio mema kazini. Viongozii, na wafanyakazi, lazima wote tuwe na nidhamuuuu.
Migogoroooo, na migonganooo, ya kazini, ni ukosefu wa nidhamu"
Shout if you remember thia.
Siku hizi hata muziki wetu watu hawahimizi vitu kama hivi, tumebakia "Ndama mtoto wa ng'ombeeee"