Huko kwenu mitaa ya wapi hiyo?
imagine!Me hiyo nshawahi kuona snowhite si jambo la busara my uncle amelala nje akarudi mchana wa siku ya pili alipokuwa anaingia mkewe anatoka kuoga mkewe kumuask akaja juu mke ikamkera nae akareact my uncle akampiga mkewe wakati anatoka mbio kujihami nguo zikamuanguka wanae wa kiume walikuwepo ikabidh mmoja akaingia ndani akachukua kanzu akamvisha mama yake wakati huo mama yake yuko nje
Tulishaisema hapa hii habari..Na watu wakaonyesha implications ya magomvi ya wanandoa kwa watoto..
Ila hapa pacha kama umechanganya mada mbili kwa pamoja..''unawezaje kuupiga mwili ambao kesho yake unataka kuutamani tena ukuridhishe.mwanaume unayemtukana anawezaje tena kukuhudumia na kutimiza mahitaji yako kama mke..'' Naona mada ilikuwa kupigana mbele ya watoto..ila naona kama umechomekea..Kupigana ni repercussion ya kuudhiana kwa hiyo ni vizuri wanandoa wakajiegemeza kwenye upande wa kutotaka kuudhiana ili kuzuia vipigo na magomvi..
mwananyamala kwa bi nyau!