Wengine hata wapigwe mapenzi yanaendeleaUgonv UPI ?? Specify .
Usitegemeee unampa kichapo alafu aendelee kukupenda.
Ndio baadhi ya mikwaruzano huwa lengo nikunogesha mapenzi.
Kutokua nakaziWengine hata wapigwe mapenzi yanaendelea
Ni kweli,pia nadhani ugomvi kwenye mahusiano huwa hauepukiki,ni kawaidaMmh. Sidhani kama unachochea penzi kwa sababu kuna ugomvi mwingine usipokuwa makini huwa unaweza watenganisha moja kwa moja.
Hahaaa. Nimecheka sana.Ni kweli kabisa... Mimi siwezi kukaa mwezi bila kuzingua huyu mtu, yani nakua nna mchecheto.