andrewsegawa
Member
- Sep 21, 2010
- 30
- 1
tatizo sio gene, bali viongozi wetu wanakosa kuweka mikakati ambao itazitoa hizo gene ziwe zinaleta matokeo mazuri, eg kuanzia grass root level, kutumia institution kama jeshi, polisi, magareza kuwa na kombania za michezo watu kama hawa wanaendelezwa, kuwa na academy za michezo, wakianza kupata mapato hao wanariadha basi nchi inarudisha fedha zake, pia tuna pata tija kutangaza nchi,Mimi sielewi Watanzania wenzangu mliopo nyumbani hili swala mnalionaje, Commonwealth games ambapo elite sportsman wengi duniani hawashiriki,Tanzania mpaka sasa hivi hawana medal !!!!!!!!!!.Kenya ana gold 8 na medali zingine.Uganda ana gold 2,sisi watanzania surely something is wrong-is it kwamba hatuna genes za michezo,swala la matayarisho i dont buy it,cause kenyans anatoka milimani leo kesho anashinda.Mimi naamini prowess katika sporting field kwa nchi nyingi za africa is directly related to development of a country.Kama COMMONWEALTH games is a mountain we cant climb why bother about the olympics.We should now switch our scarce resources to things that at least can produce a tangible result- Sometimes,believe me being a tanzanian comes at a price.
Nadhani ni management ya hizi federation, angalia Athletics Federation of Kenya, Kenya Rugby Federation Union, Volleyball Fed of Kenya e.t.c ziko sawa kwa sababu ya management, Kenya Football fed ama ni football Kenya ltd. ina matatizo chungu mzima na hii inachangia pakubwa kwa matokeo ya wanamchezo hao. Naona Tanzania inaweza toa wakimbiaji wengi wazuri, lakini tunafaa kufahamu kuwa scouts wanafaa kuwatafuta watu hao kuanzia vijijini, shule za msingi, hadi vyuo vikuu, ili kupata hizo talanta na kuzi nurture ziwe zenye faida miaka ijayo.
MOSES Kipsiro raced into the record books with Uganda's first double gold at a major international event yesterday.
He again defied a Kenyan onslaught, charging into the lead in the final 400m and sprinting to the finish in a pulsating Commonwealth Games 10000m final.
Already with a 5000m gold in his shelf, Kipsiro had promised to keep the Kenyans under pressure in the 25-lap race –– and indeed he just did that.
The Ugandan surged into the lead pack after four laps, keeping behind three Kenyans Daniel Salel, Joseph Birech and Titus Mbishei as he calculated his move. The Kenyans tried to interchange with the pace setter, but Kipsiro kept his rhythm before striking in the final lap.
"They run as a team and that is the only way I would have beaten them. I am so joyous. Thanks be to God," said the excited Kipsiro.
The closest he ever came to yesterday's feat was at the 2006 Africa championships when he won gold in 10000m and bronze in 5000m.
Kipsiro, 24, was inspired for yesterday's race by a phone call phone from President Yoweri Museveni after his 5000m triumph last week.
He becomes the first runner to do the track long distance double since Cecil Matthews of New Zeland in the British Empire Games in 1938 (3miles & 6 miles)
Kipsiro clocked 27:57.39 and was a long way off Kenenisa Bekele's 27:17.53 world record but enough to break the Kenyan hold in the long distances in New Delhi.
Kipsiro has emerged as a real star in the Indian capital because of being one of the few men able to tame Kenya's distance runners.
Muhammed Muruli was the only other Ugandan to win two gold medals in the Commonwealth Games, though not at the same edition. He won gold in the in Edinburgh, 1970 and another in New Zealand in 1972.
Meanwhile, Benjamin Kiplagat finished fourth behind three Kenyans in the steeplechase while Janet Achola helped Uganda advance to the final of the women long relays.
Nadhani ni management ya hizi federation, angalia Athletics Federation of Kenya, Kenya Rugby Federation Union, Volleyball Fed of Kenya e.t.c ziko sawa kwa sababu ya management, Kenya Football fed ama ni football Kenya ltd. ina matatizo chungu mzima na hii inachangia pakubwa kwa matokeo ya wanamchezo hao. Naona Tanzania inaweza toa wakimbiaji wengi wazuri, lakini tunafaa kufahamu kuwa scouts wanafaa kuwatafuta watu hao kuanzia vijijini, shule za msingi, hadi vyuo vikuu, ili kupata hizo talanta na kuzi nurture ziwe zenye faida miaka ijayo.
Kipsiro?? Thats sounds like a Kenyan name, ama kuna wa-Kalenjin huko Uganda?