Kama unaona nimefurahi sawa,kwani kusema ukweli ndo kufurahi? Unabisha hajaumia na akabebwa na machela? Tatizo ukweli una kawaida yabkulalia upande mmoja,iama unanuna wee nuna ilabokwi kaumia na katolewa kwa machela na nafasi yake ikachukuliwa na mchezaji mwingine.Kama hutaki acha.
Sent using
Jamii Forums mobile app