Unbwogable80 mbona umepiga jukwaa kuu peke yake? Ungetuonyesha na idadi ya watu waliohudhuria tungekuamini lakini kwa hili tumekustukia na ucdm wako ukitaka kuwalaghai watz...hatudanganyiki
Vijana wa CCM Ubungo hawakuridhishwa na jinsi mchakato wa kura za maoni ulivyoendeshwa, hivyo sitoshangaa Chadema ikishinda kiulaini, ingawa wanamtafuta mgombea wa chadema wambambikizie kesi.
Mambo yameenda kiujanja tu hao wagombea wa ujimbe wa ccm hakuna hata cha mana....huyo mwenyekiti miaka yote akiitisha kikao cha wakazi aliilizwa kuhusu mapato na matimizi anabadilika ranging na mkutano huarishwa...Leo anasema nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.