Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,773 Reaction score 1,174 Jan 29, 2023 #1 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefungua mradi wa Hoteli ya kisasa ya kitalii Emarald Resort na SPA, Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Leo tarehe 29 Januari, 2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefungua mradi wa Hoteli ya kisasa ya kitalii Emarald Resort na SPA, Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Leo tarehe 29 Januari, 2023.
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,370 Reaction score 37,908 Jan 29, 2023 #2 Sasa mambo ya nchi au Mkoa wa nchi jirani ya Unguja yanatuhusu nini WaTanganyika.
Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 6,393 Reaction score 17,569 Jan 29, 2023 #3 Bila shaka KE na ME lazima wawe na cheti cha ndoa kulala chumba kimoja. Bila shaka ni marufuku pia wanaume wawili kulala chumba kimoja.
Bila shaka KE na ME lazima wawe na cheti cha ndoa kulala chumba kimoja. Bila shaka ni marufuku pia wanaume wawili kulala chumba kimoja.
BLACK MOVEMENT JF-Expert Member Joined Mar 11, 2020 Posts 5,496 Reaction score 14,113 Jan 29, 2023 #4 Zanzibar inajaaa hoteli, si bure Wazenji wanakimbilia sana Bara kuchukua maeneo kama huko Morogoro wamejaa sana
Zanzibar inajaaa hoteli, si bure Wazenji wanakimbilia sana Bara kuchukua maeneo kama huko Morogoro wamejaa sana