naweza kuunlock bila kwenda kwao fundi just by downloading software kama inawezekana ndo nahitaji huo ujuzmbona hio error inajieleza kabisa hio ni simu ya MTN imelokiwa na huo mtandao itabidi ufanye unlock ili itumie mitandao ya huku kwetu.
MTN zipo nyingi zipo Africa magharibi na pia Uganda ipo nafkiri inabidi ucheki online wana unlock vipi kila simu ina namna zakenaweza kuunlock bila kwenda kwao fundi just by downloading software kama inawezekana ndo nahitaji huo ujuz
yap hili nalo neno,Hiyo stock ROM umeidownload kwenye website gan maana tatizo linaweza likawa Hiyo ROM
nlidownload kwenye forum moja inaitwa hovertek cjui, kitu kama hcho, lakin kabla ya hapo nlitafta sana rom nkapata mbili za kwanza ambazo zlibrick cmu kwa hyo kwa huyo jamaa ndo nkapata hyo ya tatu iliyowasha cmu, au unaweza kuniabia website gan nzur ya kupata stock rom nzuri aina ya simu ni tecno boom j7Hiyo stock ROM umeidownload kwenye website gan maana tatizo linaweza likawa Hiyo ROM
Chamelephon - Android Apps on Google PlayHovatek mbona ni best blog for tecno stock rom ....cha kufanya hapo jaribu kuflash upya kwa kufuata procedures zote na pia kuna app inaitwa chamephone IPO playstore jaribu kufix nayo IMEI ukiona mambo bado ni mabaya flash tena kwa uangalifu