ndg zang wana jf, najua humu wataalamu wa maswala ya IT mmo, leo nilikua nafanya updation ya OS ya cm angu aina ya sony xperia j, baada ya kumaliza kufanya updation nkawa na install hyo update ya os, cm ikaji restart then ikaanza kuinstall update ikawa ina load kwa muda mrefu mwisho ikafail mpaka sasa cm haiwaki, ukiwasha inawaka kidogo then inadhima na kuonyesha kana kwamba haina OS tena... nisaidien kutatua hili tatzo