Issa brown ni strain ya kuku sio kampuni tu though hata kampuni ya kuuza vifaranga vya strains zao ipo,
kwa Tanzania hakuna hiyo kampuni ya Issa Brown ila mkuza wanauza strain yao moja inaitwa BOVAN BROWN
Kwa Tanzania Hy-line brown ya interchick na S&Q, STL ya Silverland ndio common kwa Layaers.