kama kichwa kinavyojitangaza hapo juu natangaza kuanza mafunzo ya ujasiriamali kwa wale wananaopenda kufuga kuku.
Ni katika group la whatsapp nililoanzisha.
Ni kwa gharama ya sh 5000 tu elimu ambayo huenda ungeipata kwa sh 35000 hadi 50000 ila tunakufanyia kwa bei nafuu sana
Mwenye maoni au anayehitaji kujiunga basi tuwasiliane kwa whatsapp kupitia namba 0657037203
upuuuzi mtupu....
hiyo hiyo elimu tunaitoa bure kwenye groups zetu...
saidieni watu acheni tamaa ya vihela vidogo vidogo,
wanaotaka lipo la bure na professionals wa kutosha....
wafugaj wa kutosha...
upuuuzi mtupu....
hiyo hiyo elimu tunaitoa bure kwenye groups zetu...
saidieni watu acheni tamaa ya vihela vidogo vidogo,
wanaotaka lipo la bure na professionals wa kutosha....
wafugaj wa kutosha...
well said mkuu. Usikute ana copy na kupest ujuzi ambao umechangiwa humuhumu na wanajamii. Hata hivyo nijuavyo mimi, uhalisia wa ufugaji kuku ni tofauti kabisa ukilinganisha na maandiko mengi yalivyo kwenye vitabu.. Naamini yeyote anayefanya shughuli hii atakubaliana nami. Hivyo basi, ni vizuri mtoa mada akaweka wazi uzoefu wake japo kidogo, isijekuwa naye anatuletea NADHARIA