Misingimuhimu ya ufugaji wa kuku kibiashara yanayokuwezesha kupata mazao mengi na bora zaidiyatakayomnufaisha kimapato na kwa matumizi mengine. Misingi hii ni pamoja na: √ Kuchagua njia bora ya kufugana sifa za mabanda bora ya kuku √ Kuchagua aina bora ya kuku wakufuga, kuzaliana na kutotolesha √ Utunzaji wa vifaranga √ Kutengeneza chakula bora chakuku √ Kudhibiti na kutibu magonjwa √ Kutunza kumbukumbu √ Kutafuta masoko
Kwa maelezo zaidi au maoni tafadhali tembelea UFUGAJI WA KUKU