Richie Henry
Member
- Apr 24, 2022
- 15
- 22
Kibiashara ni kondoo mkuu ila uwe maeneo yenye mwinuko.Naombeni kwa anaejua ni kipi bora kati ya ufugaji wa kondoo na ng'ombe wa kienyeji kwa maeneo ya Kahama shinyanga. Yani kipi kinaweza kuwa kinalipa kwa uharaka kuzidi kingine?
Ahsante naomba kuwasilisha
Nahitaji mkuuUkihitaji kondoo wakufuga tuwasiliane nikuelekeze walipo wazuri (mbegu nzuri)
Samahani naomba nikusahihishe kidogo hakuna kondoo anae zaa mara 3 kwa mwaka.Bora kondoo ambapo unaweza kupata uzao walau mara 2-3 kwa mwaka.
Naomba kama hauto jali ungaliweka hapa ili iwe msaada kwa wengine pia watakapo hitaji upatikanaji wa hizo mbegu. Mfano kwangu naweza msaidia kupata Met Master, Dopper, na Black head.Ukihitaji kondoo wakufuga tuwasiliane nikuelekeze walipo wazuri (mbegu nzuri)
Hao Dopper unauza bei gani na wako mkoa gani?Naomba kama hauto jali ungaliweka hapa ili iwe msaada kwa wengine pia watakapo hitaji upatikanaji wa hizo mbegu. Mfano kwangu naweza msaidia kupata Met Master, Dopper, na Black head.
Ni wazo zuri sana mimi nakushauri kwanza angalia uwezekano wa upatikanaji wa malisho na maji ya uhakika shambani mwako pili nakushauri ufuge Mbegu ya mifugo wano kuwa kwa uharaka kwamfano unapo fuga kondoo wa Dopper ukuaji wao ni mzuri kiasi ya kwamba mfugo akiwa na miezi 6 waweza anza kumuuza iwe kwa mbegu au kitoweo.Naombeni kwa anaejua ni kipi bora kati ya ufugaji wa kondoo na ng'ombe wa kienyeji kwa maeneo ya Kahama shinyanga. Yani kipi kinaweza kuwa kinalipa kwa uharaka kuzidi kingine?
Ahsante naomba kuwasilisha
Dar shamabani kimanzichana MAVUNO RANCHERS bei yake dume ni milion 2 karibu sana.Hao Dopper unauza bei gani na wako mkoa gani?
Ahsante sana mkuuNi wazo zuri sana mimi nakushauri kwanza angalia uwezekano wa upatikanaji wa malisho na maji ya uhakika shambani mwako pili nakushauri ufuge Mbegu ya mifugo wano kuwa kwa uharaka kwamfano unapo fuga kondoo wa Dopper ukuaji wao ni mzuri kiasi ya kwamba mfugo akiwa na miezi 6 waweza anza kumuuza iwe kwa mbegu au kitoweo.
Hali kadhalika kwenye Ngombe nako pia kuna mbegu kama Ankole, shawel na wengineo ukuaji wao pia ni wa haraka na uzito mkubwa ambao watakusaidia kuweza kukupa faida kwa muda muafaka.
Na kwenye Mbuzi pia nako hivyo hivyo waweza nunua madume bora kama , Boer, Red kalahare, Savanha,Isiolo/Galla na ukatumia majike ya Mubende au sukuma goat, au ukaenda kwenye hivi vituo vya serekali vya kuhimilisha mbegu ukapata majike bora itakusaidia vyema ktk ufugaji wako.
ANGALIZO. Lishe bora, matibabu kwa wakati na dawa stahiki, na usimamizi wa karibu ndio nguzo imara ktk ufugaji wako. Mungu akubariki ufikie malengo yako. Karibu kwa maswali zaidi.
Unaweza kutuma picha yake nikamuona mkuu?Dar shamabani kimanzichana MAVUNO RANCHERS bei yake dume ni milion 2 karibu sana.
Ndio ndugu nawekaUnaweza kutuma picha yake nikamuona mkuu?
Ooh safi, ntakutafuta mkuuHuyu dume ana mwaka na miezi 3
Karibu sana wakati wowoteOoh safi, ntakutafuta mkuu
Nimefuga Sanaa kitimoto.Sekta nizipendazo cc Dr am 4 real PhD
Nadandia semi, nielekeze walipo ninawahitaji.Ukihitaji kondoo wakufuga tuwasiliane nikuelekeze walipo wazuri (mbegu nzuri)
Nitafute kwa namba 0752524981 nikupe kitabu cha ufugaji wa ng'ombe wa aina mbalimbali.Naombeni kwa anaejua ni kipi bora kati ya ufugaji wa kondoo na ng'ombe wa kienyeji kwa maeneo ya Kahama shinyanga. Yani kipi kinaweza kuwa kinalipa kwa uharaka kuzidi kingine?
Ahsante naomba kuwasilisha