MKT
Member
- May 10, 2019
- 10
- 53
FAIDA ZA KUFUGA KAMBARE
#Kambare ni aina ya #samaki wanaoweza kukua hadi kufi kia kilo 10 na hivyo humuwezesha #mfugaji kujipatia kipato na nyama zaidi kuliko #perege na aina nyingine za #samaki.
Nyama ya #kambare imethibitishwa kuwa na kirutubisho kijulikanacho kama Omega-3, ambacho humpunguzia mlaji uwezekano wa kupata athari za magonjwa mbalimbali kama vile saratani, shinikizo la damu, na magonjwa ya akili.
#Kambare wanapofugwa pamoja na #perege (kambare mmoja kwa kila perege wanne mpaka watano), hudhibiti mazaliano ya perege, hivyo kuwawezesha kukua hadi kufikia uzito mkubwa (mpaka kilo 5). #Tufuge kwa #tija #tufuge #kibiashara
Kupata huduma wasiliana nasi kupitia
simu:
+255 712 253 102(WhatsApp)
+255 765 291 489
+255 625 994 023
Email:
mifugotz@gmail.com
@mifugo_tz
@kilimo_tz
@afyakiganjani
#mifugo #mifugotz #kilimotz #kilimo #drkessyvet #kuku #broiler #tanzania l #bata #kuchi #kilimoufugaji #kilimanjaro #sungura #vifaranga #daktariwamifugo #afyakiganjani