Mkuu wangu ni kweli ulipotea sana!unajiandaa kupanda nini mkuu?mimi nataka nijaribu mahindi kama heka 5 hivi,ila ni eneo jipya,ndio namalizia kung'oa visiki hapa!ni maeneo ya Msowero!sijajua litanipaje mavuno,maana wenyeji wanadai shamba jipya kwa mahindi utoa mavuno hafifu,ila mleta mada hapa amenidokeza shamba jipya ustahili kutoa mavuno mengi zaidi!mimi target yangu nipate angalau gunha 50 tu kwa heka zote 5
Niko na misitu huku nyanda za juu, nakimbizana na vijana ile mbaya. Nitarudi jukwaani baada ya tarehe 26jan. Ukiniona ujue nimekuja mjini kusoma gazeti jioni na kisha nazama mwituni tena na kudokoa mail mbili tatu hivi.
Last Saturday nilikuwa shamba. Mahindi yanaendelea kukauka vizuri though vuli hii ilikuwa jua kali. Mungu ana uweza mkubwa kwa wanaomtegemea!
Mifugo inaendelea poa pia,tumepata 11 new piglets. Du check boga hilo! Muugwana vitendo!
Nataka wenye desire mtamani iwe chachu kufanya kweli. Nothing will change for you if you do not change!
Ahsante.Nimeku pmThis is really good, hongera sana kaka, please naomba mawasiliano yako
Last Saturday nilikuwa shamba. Mahindi yanaendelea kukauka vizuri though vuli hii ilikuwa jua kali. Mungu ana uweza mkubwa kwa wanaomtegemea!
Mifugo inaendelea poa pia,tumepata 11 new piglets. Du check boga hilo! Muugwana vitendo!
Nataka wenye desire mtamani iwe chachu kufanya kweli. Nothing will change for you if you do not change!
Last Saturday nilikuwa shamba. Mahindi yanaendelea kukauka vizuri though vuli hii ilikuwa jua kali. Mungu ana uweza mkubwa kwa wanaomtegemea!
Mifugo inaendelea poa pia,tumepata 11 new piglets. Du check boga hilo! Muugwana vitendo!
Nataka wenye desire mtamani iwe chachu kufanya kweli. Nothing will change for you if you do not change!
Ahsante MamaJoe.I see Mfalme unatutamanisha hilo boga hadi raha, kwakweli hizi thread zinahamasisha na kuleta uthubutu. Hongera sana Bwana na Mungu azidi kukubariki
AhsanteMkuu imekaa vizuri,
Vikitimoto lundo namna hiyo!!!!! keep it up.
Kaka kama unaswali ambalo huwezi kuuliza hapa ni pmasante sana kwa kutufumbua macho tunaoanza,mawasiliano tafadhali
Mkuu bahati mbaya sana natumia simu!ila pokea LIKE yangu kubwa sana!big up mkuu!
Nilikwenda gerezani mtaa wa makamba this week.kuna kampuni inaitwa Suba na nikakuta mbegu ya ufuta lindi2002 imeisha though wamesema ikifika watanipigia.naenda morogoro this weekend nitacheck Tanzania seed Association wanazo hizo mbegu.ni shs 5000 kwa kg.Mkuu kama vipi itabidi unipe contact yako, siku ukipata mbegu bora zaidi nitaomba unishtue na mimi maana natarajia kulima mwakani Mungu akinijalia.
Na average mbegu wanauzaje kwa kilo? Nasikia pia ufuta mweupe ndo unalipa zaidi, kama ukipata mbegu yake itakuwa nzuri zaidi.
Kuhusu mvua nimesikia ufuta hauhitaji mvua nyingi kama mahindi, zaidi mvua inahitajika sana katika zile phase za mwanzoni kabisa, ni kweli??
Mkuu MalafyaleP msaada kama ukipata mbegu bora zaidi za ufuta.
Nimejipanga kuhudhuria maonesho ya nane nane mwaka huu popote pale yatakapofanyika. Hopefully nitapata something.