Naona Ufo Saro amewabana sana watoa hoja au wachangiaji kiasi kwamba kipindi kimekuwa ni malumbano na Ufo Saro na sio malumbano ya hoja.
Naona mpaka Juma Kapalatu ameamua kuwa mpole, haongei.
Sijui wenzangu mnaonaje