OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Mbunge wa Urambo, Samwel Sitta almaarufu kama "Mzee wa Viwango na kasi" kama anavyojiita. Mara zote Sitta ambaye aliwahi kuwa spika wa Bunge hupenda kuzungumzia masuala ya ufisadi ili kujiosha na kujipambambanua uadilifu wake.
Siku zote maneno ya Sitta hayaendani na matendo yake. Anajipambanua kupinga ufisadi wakati ana punje za ufisadi mdomoni mwake.
Twende taratibu hapa kwa kuweka kumbukumbu sawa.
Wakati akiwa Spika alikuwa akimtumia msaidizi wake kuchota pesa lukuki kwa kisingizio cha safari za ndani na nje ya nchi. Mathalani amekuwa akichukua shilingi milioni tano (5,000,000/-) kwa safari za ndani; na kuchukua jumla ya Tsh. milioni kumi na tano (15,000,000/-) kwa safari za nje. Amekuwa akichukua pesa hizo pasipo kuleta marejesho ya risiti za matumizi ya fedha hizo. Huu si ufisadi jamani? Uadilifu wa matumizi ya pesa za umma anaojitapa nao Sitta upo wapi hapa?
Ni Sitta huyu huyu amekuwa akipeleka risiti feki za matibabu ya afya yake ambapo kwa kila wiki alikuwa akichota milioni mbili (2,000,000/-) na ilifika kipindi alikuwa akinunua kidonge kimoja cha panadol kwa Tsh. milioni moja. Huu si ufisadi jamani?
Lakini ufisadi mkubwa wa Samwel sitta ni kutumia fedha za serikali vibaya kwa kujenga ofisi ya speaker jimboni kwake urambo akidhani atakuwa spika maisha sasa nani anakwenda kutumia ofisi hiyo?
Ikumbukwe Sitta aling'ang'ania utukufu wa kujengewa nyumba ya kifahari ya takribani milioni 500 iliyojaa fenicha (samani) za gharama kubwa si chini ya
million 150 tena katika jimbo lake. Huu ni ufisadi uliovuka viwango na kasi kufanywa na Sitta.
Ni Sitta huyu huyu ambaye mpaka sasa ameikataa nyumba ya serikali na kuamua kwenda kuishi Masaki mtaa wa Chole road. Kwa wale wasiojua ile nyumba ulipiwa na ofisi ya Mbunge kwa mwezi usd 15,000 (takribani milioni 30) kwa mwezi wakati ile nyumba hati yake imeandikwa ni mali ya Mke wake Magreth Sitta. Huu ni mwendelezo wa ufisadi unaofanywa na Sitta.
Bado nakupa matukio ya kifisadi ya Sitta. Ni Sitta huyu huyu anayejifanya malaika amezunguka nchi nzima akihonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kiasi cha shilingi laki mbili (200000/-) Nchi nzima. Usafi wa Sitta uko wapi hapa?
Pia ikumbukwe mwaka 2010 alimshauri mke wake kuhonga simu kwa kila mpiga kura Tabora zikiwa ndani zimewekwa fedha ili achaguliwe ubunge. Sitta huyu ni muhuni wa kupuuzwa na hana tone lolote lile la uadilifu.
Swali la kujiuliza hizi fedha zote anazotumia kuhonga vimada wake, kuhonga wajumbe wa vikao anazitolea wapi? Kama amekopa, atarudishaje? Kwa sababu hauwezi kumnunua mjumbe bila ya yeye Sitta kununuliwa!!
Sitta anajinasibu uadilifu wa kutokuwa fisadi wakati uhalisia wake ana punje za ufisadi mdomoni. Matendo yake yanaonyesha ni agent wa ufisadi nchini aliyenunuliwa ili kuiuza nchi mikononi mwa matapeli, wanyonyaji na wahujumu uchumi.
Tuwe macho na Sitta, wakala wa ufisadi nchini.