Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
talking about JF being home of great thinkers, did you check the authenticity of this statement or u just simply copied and pasted it here?
Sasa ufisadi hapo ni upi? fanya uchunguzi uje na takwimu hapa badala ya kukurupuka, hujui Mbunge ana mshahara na anautumia atakavyo ikiwa ni pamoja na kujenga nyumba na kununua magari ili mradi si ubadhirifu..John Mnyika - Ubungo tangu anachukua Ubunge kupitia Chadema mpaka sasa ana nyumba 10 jijini Dar-es-salaam na kila nyumba tunaijua ilipo leo anazungumzia ufisadi kweli wajinga ndio waliwao...
hii kitu nimekutana nayo facebook.
john mnyika - ubungo tangu anachukua ubunge kupitia chadema mpaka sasa ana nyumba 10 jijini dar-es-salaam na kila nyumba tunaijua ilipo leo anazungumzia ufisadi kweli wajinga ndio waliwao...
hii kitu nimekutana nayo facebook.