ANAUPIGA MWINGI
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 388
- 757
Mamilioni ya michango waliyokuwa wanakatwa wabunge kuanzia 2016 hadi 2020 yaliishia huku. Hapo bado hatujazungumzia ruzukuCCM ni panya na hawa bila kuwaondoa hakuna Mabadiliko, hawa wanacho kifanya kila uchaguzi ukifika wanaleta Sura mpya na kuwahadaaa wananchi kwamba hii ni CCM Mpya, Baada ya huyu Mama watakuja na mtu mpya na watahadaaa wadanganyika kwamba hii sasa ni CCM Mpya,
View attachment 2194974
Kama hata serikali ya ccm inashindwa kitu kidogo tu cha kumkata Mbowe kwa ufisadi...sasa inaweza nini?Mamilioni ya michango waliyokuwa wanakatwa wabunge kuanzia 2016 hadi 2020 yaliishia huku. Hapo bado hatujazungumzia ruzuku
View attachment 2194984
View attachment 2194988
Wanamkamataje na wakati yupo ndani ya mfumo? Wewe unafikiri kile kitendo cha kumleta Lowa aje avuruge uchaguzi wa 2015 ili auwe nguvu za chama zilizokuwa tayari zimeshajengwa na dr Slaa ilikuwa ni bahati mbaya? Huu ni mkakati wa kuihadaa dunia ili ionekane kuwa TZ kuna demokrasia ila kiuhalisia wote ni wale wale CCM tu. Amka kijanaKama hata serikali ya ccm inashindwa kitu kidogo tu cha kumkata Mbowe kwa ufisadi...sasa inaweza nini?
Dr Slaa ndiye aliyeijenga Chadema? Amka usingizini.Wanamkamataje na wakati yupo ndani ya mfumo? Wewe unafikiri kile kitendo cha kumleta Lowa aje avuruge uchaguzi wa 2015 ili auwe nguvu za chama zilizokuwa tayari zimeshajengwa na dr Slaa ilikuwa ni bahati mbaya? Huu ni mkakati wa kuihadaa dunia ili ionekane kuwa TZ kuna demokrasia ila kiuhalisia wote ni wale wale CCM tu. Amka kijana
CCM ni zaidi ya panya mkuuCCM ni panya na hawa bila kuwaondoa hakuna Mabadiliko, hawa wanacho kifanya kila uchaguzi ukifika wanaleta Sura mpya na kuwahadaaa wananchi kwamba hii ni CCM Mpya, Baada ya huyu Mama watakuja na mtu mpya na watahadaaa wadanganyika kwamba hii sasa ni CCM Mpya,
View attachment 2194974
prove moreWanamkamataje na wakati yupo ndani ya mfumo? Wewe unafikiri kile kitendo cha kumleta Lowa aje avuruge uchaguzi wa 2015 ili auwe nguvu za chama zilizokuwa tayari zimeshajengwa na dr Slaa ilikuwa ni bahati mbaya? Huu ni mkakati wa kuihadaa dunia ili ionekane kuwa TZ kuna demokrasia ila kiuhalisia wote ni wale wale CCM tu. Amka kijana
Kwa hiyo unakubali ccm ni chama cha mafisadi!Wanamkamataje na wakati yupo ndani ya mfumo? Wewe unafikiri kile kitendo cha kumleta Lowa aje avuruge uchaguzi wa 2015 ili auwe nguvu za chama zilizokuwa tayari zimeshajengwa na dr Slaa ilikuwa ni bahati mbaya? Huu ni mkakati wa kuihadaa dunia ili ionekane kuwa TZ kuna demokrasia ila kiuhalisia wote ni wale wale CCM tu. Amka kijana
KabisaKwa hiyo unakubali ccm ni chama cha mafisadi!
Ufadhili huu wa kuchora vibonzo Kwa Dudumizi SII sehemu ya ufisadi wa wanachukua chako mapema kweliš¤š¤Mamilioni ya michango waliyokuwa wanakatwa wabunge kuanzia 2016 hadi 2020 yaliishia huku. Hapo bado hatujazungumzia ruzuku
View attachment 2194984
View attachment 2194988
Chadema imekuwa chama kikuu cha upinzani chini ya ukatibu mkuu wa dr Slaa kutokana na kuwa na uwezo mkubwa kisiasa, mjengaji mkubwa wa hoja na mletaji wa amsha amsha chamani. Kaburu amekaa Chadema muda mrefu na hakuwahi kukisaidia chama hicho kupata wabunge hata 15 tu wa kuanzia. Kuwa mkweli ili nafsi yako iwe huru mkuu, usijaribu kutengeneza tengeneza visababu visivyokuwa na ukweli huku moyo wako ukijuta kwa uongo wako mwenyew.Dr Slaa ndiye aliyeijenga Chadema? Amka usingizini.
Ulikuwa hujazaliwa wakati Aman Warid Kaborou anashinda ubunge wa Kigoma mjini na kuwa katibu mkuu wa Chadema.
Wewe Mrusi ni mchokozi eehh
Freeman Mbowe alikuwa katibu mkuu, akaja akautema ubunge akagombea Urais ili aijenge Chadema.Chadema imekuwa chama kikuu cha upinzani chini ya ukatibu mkuu wa dr Slaa kutokana na kuwa na uwezo mkubwa kisiasa, mjengaji mkubwa wa hoja na mletaji wa amsha amsha chamani. Kaburu amekaa Chadema muda mrefu na hakuwahi kukisaidia chama hicho kupata wabunge hata 15 tu wa kuanzia. Kuwa mkweli ili nafsi yako iwe huru mkuu, usijaribu kutengeneza tengeneza visababu visivyokuwa na ukweli huku moyo wako ukijuta kwa uongo wako mwenyew.
Kasha pigwa ntu hapoš¤Nimesikitika sana leo,Ile Ruby iliyotangazwa Dubai kuwa imetoka Tanzania,wizara haijui chochote
Gerson Msigwa Jana alipost taarifa iliyotolewa na African News.....naona baada ya kuona wenzake hawajui akatoaKasha pigwa ntu hapoš¤