Halmashauri ya jiji la Mbeya wameongeza kupima viwanja eneo la Itezi jijini Mbeya, lakini viwanja hivyo havijatangazwa kwa wananchi. Kilichotokea ni watendaji wa idara hiyo na watendaji wengine wa jiji kujigawia viwanja na kufanya udalali.

Mbona unatokwa na povu? Bila shaka na wewe ni mmoja wao! Mimi nimeshuhudia viwanja itezi vikipimwa kama mwezi sasa, na ninashuhudia viwanja vinauzwa lakini ukienda ofisi ya ardhi hamna hata tangazo kwamba kuna viwanja vimeongezwa. Watu kama wewe ndio mnasababisha jiji la Mbeya liendelee kuwa vibaya kwa upuuzi wenu.