Kitendo cha vyama vya siasa kushindwa kupeleka hesabu zao kukaguliwa kinaashiria nini ktk dunia ya uwazi na ukweli?Nilitegemea CCM na Chadema wangekuwa wa kwanza kupeleka hesabu zao.Chama kinashindwa kutoa maelezo ya 1b,itakuweje kikianza kupata rudhuku ya 10b?