Ufisadi na awamu ya tano

More problems

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
432
Reaction score
257
Wakati serikali yetu inaanza kazi, walileta mbwembwe za mahakama ya mafisadi nikajua kiama chao mafisadi kimefika[emoji2] [emoji2]

Mpaka sasa sijasikia kesi iliyoamriwa na hiyo mahakama wala mtu aliyehukumiwa[emoji24] [emoji24]

Brazil spika wa bunge kasweka mvua 15 kwa ufisadi[emoji123] [emoji123]

Hapa kwetu wenye dhamana wanatuigizia katamthiliya afu steering dk Chen na Ray.... Uongo tu hawapambani na mafisadi.[emoji21] [emoji21]
 
vumilia,hlf ndo ujue kiongozi hazaliwi anatengenezwa
 
wameshasema hawapangiwi mkuu...ila ingependeza hao mafisadi wafilisiwe na wafungwe kabisa
 
Awamu hii nani atakayehoji kitu??Ukihoji utaishiwa kutekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…