Ufisadi mpya kutikisa Bunge

Jengo wanasema bilioni 12 gharama halisi bilion 3 hizi 9 zimekwenda wapi jaman?barabara ngapi za mtaani zingejengwa hapa?Kwa nn nyie masisiem mnatuibia hivi jaman?Nina hasira jamani hata ya kujilipua kwa kweli.
Dr. Harrison Mwakyembe atakuwa anajua hizo 9b zimeenda wapi, si alikuwa waziri hapo.
 
Watasema "Mengi amewatuma PAC kulipua ufisadi mwingine maana anaitaka nyumba ya bodi ya mikopo na jengo la VIP"!!

Ngoja waje....

Asante kwa kutujuza. Hope utakuwa "mwenyewe" (kama sio vijana wake).
Hilo nalo umetufumbua tuanze kulichakata!
 

Ushauri wao umemtimua muhongo!!!!!
 
Misamsha ya kodi wanajipa viongozi wenyewe kwa Kampuni zao wenyewe, hizo Nyumba wanauziana viongozi wenyewe mpaka kiongozi akibadilishwa eneo la kazi anaenda kuishi hotelini.
Leo hii mnadai serikali haina hela, hizo mnazoiba ndizo za serikali.


Note:
Uingizaji wa mabasi zaidi ya 300 ya UDA amabyo yalipata msamaha wa Kodi.

Pia kumbuka STARBAG kampuni ya ujenzi imeingiza vifaa na inavitumia kwenye ujenzi vikiwa na Number DFP(Hope na zenyewe zina misamaha.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…