banywanenyuma
Member
- Jan 29, 2013
- 53
- 20
Ndugu wasomaji katika safu hii.
Nianze kwa kumpongeza mwenyezi mungu kwa kutujalia uhai mpaka muda huu tukipitia mtandao huu.
Nimeshawishika kwamba nimpongeze mh. Waziri wa ardhi kwa hotuba yake nzuri ya bajeti ya 2013/2014.
Na huu ni upande wa maoisa wa ardhi katika mamlaka za wilaya na miji kuwajibika moja kwa moja wizarani.
Hii ni kwasababu kwakweli mawilayani huduma zinatolewa ki unyanyasaji na kisiasa zaidi.iwapo suala hili litakuwa linasimamiwa kiwizara tunamshukuru mungu kwamba utendaji utapendeza bila hata kuogopa kunyanyasika kisiasa kwani ulinzi utaongezeka.hata hivyo ingekuwepo mamlaka nyingine inayo jitegemea kama nhc kusimamia ardhi zote za nchi mambo yangependeza zaidi kuliko kutapakaza mamlaka haya na kuharibu kila kitu.
Pia ijulikane pia kwamba wizarani bado kuna wanyanyasaji kwani kila tuendapo kama maafisa kutoka mikoani hatuudumiwi kwa wakati na agahalabu hupuuzwa tfadhari hili liangaliwe.
Tunatoka wilaya za mbali lakini na sisi ni maafisa kama wao. Natoa mfano;nilikotka wilaya fulani kwenda wizara ya ardhi mwaka huu 2014 baada ya kuwasiliana na ofisi fulani. Nimefika nikaelekezwa kwa kaimu aliyea achiwa ofisi husika kwani mwenye ofisi alikuwa safarini badala ya kuhudumiwa jamaa ananiambia nirudi wilayani kwani barua iliyo andikwa ilikuwa haionekani hivyo niandike nyingine.
Ilibidi nitumie ubabe na kuhudumika kijanja tu na ngazi nyingine. Itapendeza maafisa walioko dar wizarani wahamishiwe wilaya za penbezoni ili wakienda wizarani nao wajue machungu wanayo kuwa wanapata wenzao.
Nawasirisha.