Mkuu niliuliza pale kituoni nikaambiwa anaitoa ila akapewe hongo ya lazima pia ni tendo lililofanyika haradhani mida ya saa1 binafsi nikiwa nashuhudia.
Haikua vurugu ila raia tulikua tunashangaa na pia wenye kazi zao pale kituoni wanasema amezoea hiyo ni tabia yake.Yamkini walikubaliana amsaidie kiibandua imekaa vibaya!
Au wewe Ulisikiaje? Walikuwa wanazozana kwani? ulisikia maneno gani?
ukijibu hayo ndo tutakusaidia sheria
Haikua vurugu ila raia tulikua tunashangaa na pia wenye kazi zao pale kituoni wanasema amezoea hiyo ni tabia yake.
Mkuu sidhani kama uko sawa ila ni bus ya abiria pia sidhani kama umesoma post yangu vizur' Nashauri tu rejea hapo juu ili twende sawa mkuu wangu.Hiyo daladala ni usafiri gani?? Gari au pikipiki, bajaji au,, ?? Je ni yako binafsi au ya mtu.
Ndo nimeuliza naenda wapi kupata hiyo haki?
Mkuu sidhani kama uko sawa ila ni bus ya abiria pia sidhani kama umesoma post yangu vizur' Nashauri tu rejea hapo juu ili twende sawa mkuu wangu.
Naomba niulize mkuu' hivi kusimamia sheria ni nani anaepaswa kuwajibika na hilo? Pia kwanini jirani yako akiibiwa hua tunaita kikao cha mtaa kujadili namna ya kudhibiti uhalifu huo mtaan kwako?Ukigoma kupeleka gari kituoni bila shuruti, basi plate namba inachomelewa kwa shuruti kama kawa, mbona huongelei makosa yanayovunjwa barabarani? Hatutaki ajali za kipumbavu tena acha madereva korofi wawajibishe
Sorry mkuu wewe ni ME au KE...? Thanks.
Ndo maana ni rahisi sana kusema mtoto yule kazidi umalaya na umri mdogo vile katakufa na ukimwi. Sikia kwa wengine siku ikila kwako ndo utaelewa kwann mtoto wa mwenzio nae ni wako mkuu.Sasa unaenda kwani wewe ndo mhanga wa tatizo? Kama daladala sio yako achana nayo.
Ndo maana ni rahisi sana kusema mtoto yule kazidi umalaya na umri mdogo vile katakufa na ukimwi. Sikia kwa wengine siku ikila kwako ndo utaelewa kwann mtoto wa mwenzio nae ni wako mkuu.