rajab simba
Member
- Feb 1, 2017
- 36
- 12
Not Available
Unataka ukaisome?!Hivi naomba kuuliza MTU akisoma hii course anaajiriwa kama nano naona kama inaingiliana na IT au? Naomba kuelimishwa kidogo
Wanaangalia vigezo vpNdio kipo under nacte ARUSHA (CEDHA) KWA DIPLOMA na CERTIFICATE
UDSMKwa hapa bongo kuna chuo kinachotoa hii kitu?
Nauliza tu nataka kufahamuUnataka ukaisome?!
Au unandugu yako au jamaa anahitaji kuisoma?
Okay asante kwa maelezo nduguHii ni course ambayo unatumia computer katika maswala ya afya mfano ukiwa hospital unaweza kuwasiliana na madaktari kwa sababu kuna somo linalo husu biomedical terminology so unakuwa upande wa IT Lakini knowledge ya afya unakuwa nayo maana practical zetu nying tunafanyia hospital
Okay umeielewaje 4futureNauliza tu nataka kufahamu
Ada sh ngapi?UDSM NI degree ambayo ni health informatics but diploma yake arusha CEDHA
Vipi vingi tuKwa hapa bongo kuna chuo kinachotoa hii kitu?
Ada ya diploma hapa Cedha ni milion moja na elfu tano mia NNE