NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,967 May 9, 2017 #1 Habari zenu wandugu,naomba ufafanuzi wa kitabibu juu ya suala hili:- Inasemekana, ukijisaidia choo kubwa na kikaelea kwenye sink la choo una matatizo ya kiafya, je hili lina ukweli? Ahsante natanguliza shukrani
Habari zenu wandugu,naomba ufafanuzi wa kitabibu juu ya suala hili:- Inasemekana, ukijisaidia choo kubwa na kikaelea kwenye sink la choo una matatizo ya kiafya, je hili lina ukweli? Ahsante natanguliza shukrani
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 May 12, 2017 #2 Aaah wapi sidhani
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,906 Reaction score 42,079 May 12, 2017 #3 Ngoja madakta waje
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,962 Reaction score 35,215 May 12, 2017 #4 Sijaelewa mada!!! au weka na kapicha kusapoti huo mlalo wa huo mzigo kwenye "sink"