J Jacob 29 New Member Joined Sep 27, 2023 Posts 4 Reaction score 2 Sep 27, 2023 #1 Natumaini mkoa salama ndugu zangu. Nimechaguliwa course ya leadership and Ethics je kazi zake kwa upana ni lazima uwe mwanasiasa au aliyesoma hiyo course anaweza kuingia katika field gani. Naombeni ufafanuzi zaidi katika kozi hii
Natumaini mkoa salama ndugu zangu. Nimechaguliwa course ya leadership and Ethics je kazi zake kwa upana ni lazima uwe mwanasiasa au aliyesoma hiyo course anaweza kuingia katika field gani. Naombeni ufafanuzi zaidi katika kozi hii
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,400 Reaction score 43,299 Sep 27, 2023 #2 Level gani na chuo fani?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,575 Reaction score 195,375 Sep 28, 2023 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
J Jacob 29 New Member Joined Sep 27, 2023 Posts 4 Reaction score 2 Oct 2, 2023 Thread starter #4 Degree level
J Jacob 29 New Member Joined Sep 27, 2023 Posts 4 Reaction score 2 Oct 2, 2023 Thread starter #5 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Sawa mkuu
J Jacob 29 New Member Joined Sep 27, 2023 Posts 4 Reaction score 2 Oct 2, 2023 Thread starter #6 jiwe angavu said: Level gani na chuo fani? Click to expand... Chuo kikuu Degree